"ANTHONY MARTIAL"
Msimu huu ametukeraa
sana so far,lakini naamini Martial akicheza vizuri United pia inacheza vizuri..Ana hold up play nzuri,anachezewa fouls nyingi maeneo ya hatari,anaweza kucheza interchange pass na ana nguvu pia,mtu kama Cavani hawezi haya mambo,lakini tunajua what Cavani is good at..Kuna vitu vinakosekana kwa huyu bwana,ila ana mguu mzuri..angeongeza kujituma,kujiposition vizuri na kuwa clinical zaidi basi angekuwa attacker bora kabisa Ulaya.
Msimu uliopita kipindi Martial yuko form tulikuwa tunashinda comfortably..