Tumia hesgol. Com mkuuuOnline link please, dstv imekata hapa
Hii game tukipata sare tushukuru maana tunapigwa msako wa kufa mtu
Jamaa hawawezi kutuacha amini kwamba.Tunapoteza mipira hovyo bila hivyo hata goli mbili tungepata kipindi cha kwanza
Jamaa hawawezi kutuacha amini kwamba.
Kinomaaa msiniangushe manyumbu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uliona mbali
Ngapi uko mkuu[emoji3][emoji3]Acha kuota wewe ...
Ole na wakina magwaya wote wanajua kuwa kipigo wanachoenda kukutana nacho
Penandezzz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]