Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
KweliKumfunga man City kutamzuia kutwaa ubingwa ?
KweliKumfunga man City kutamzuia kutwaa ubingwa ?
Next saton ...Nilikwambia mtalia sasa mtaanza kufungwa hadi mshike adabu
Ulinibishia mnoNext saton ...
Bad day in the office
Kwa form walikua nayo MCI nadiriki kusema Mende Kaangusha Kabati.Ngapi uko mkuu
Muhindi leo analala na viatu...![]()
Mkuu usiwe na mashaka na Rashford..Rashford ni level ya juu sana. Siku akiumia tumeisha.Upumbavu wa rashiford imeuona lakini?
Mamayo zenu nyie , hatuchukui ubingwa lakini sio nyie mbwa mtufunge pamoja na makandokando yetu,Acha kuota wewe ...
Ole na wakina magwaya wote wanajua kuwa kipigo wanachoenda kukutana nacho
Teh teh tehAcha kuota wewe ...
Ole na wakina magwaya wote wanajua kuwa kipigo wanachoenda kukutana nacho
Huyu kundu siku nikikutana naye nampiga nakozHivi kwann anashindwa kupiga mpira golini... wats wrong wit him? SMH
Bao mbili Leo nimekupa mke wangu kipenzi
Tegemea kuanza kupigwa ss.City record is officially broken
Refa Anthony Taylor tena lazima uiue city 😀hakuna namnaJamani msiniangushe leo nimeweka tofauti zangu pembeni leo tuko pamoja nipigieni city mimi nipate mkwanja tu, ndio ni mkwanja tu ..mechi zote zimetiki laki sita ileeeee....manyumbu msiniangushe jamani ..
Leo mpate akili nyie nyumbu mshinde ..
GGMU
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app