Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#GGMU

manutd |
IMG_20210305_230043_439.jpeg
 
Ahahaaaaaaah!!!
Watu mna utani sana, yaani unafananisha wachezaji wa Man City na hizo takataka za Man Utd (samahani lakini)?
Kwa akili yako unafikiri Manchester City wachezaji wao wana ubora mkubwa sana kuliko walio Manchester United? THINK TWICE!

Golini City ni Ederson Santana wakati United David Degea

Kulia City ni Juan Cancelo wakati United ni Aaron Bissaka

Kushoto City Olek Zinchenko wakati United ni Luke Shaw

Beki wa kati ni namba pekee kwangu mimi Manchester United tuna mchezaji mmoja tu anayeweza kucheza pale (Eric Bailly). John Stones, Aymeric Laporte na Ruben Dias ni mabeki wazuri ukilinganisha na Harry Maguire na Victor Lindelof ila sio mabeki wazuri sana ukilinganisha na mabeki wengine duniani kama Kalidou Koulibaly.

Kiungo wa chini anacheza Rodrigo Cascante/Fernandinho wakati United anacheza Fred/Scott.

Kiungo wa juu United anacheza Paul Pogba/Scott wakati wao anacheza Ilkay Gundogan.

Nyuma ya mshambuliaji wa mwisho City anacheza Kevin De Bruyne wakati United anacheza Bruno.

Mshambuliaji wa mwisho City anacheza Gabriel Jesus wakati United anacheza Cavani.

Mshambuliaji wa kushoto mwa uwanja anacheza Raheem Sterling wakati United anacheza Marcus Rashford.

Mshambuliaji wa kulia mwa uwanja City anacheza Phil Foden wakati United anacheza Mason Greenwood.

Jombaa, hapo nimekuwekea kwa haraka kabisa. Tofauti ya city na United ni ubora wa benchi la ufundi ila sio kwa wachezaji mmoja mmoja ni kweli kuna maeneo City wana ubora sana ila sio kwa margin kubwa kama ulivyotoa kauli ya kebehi hapo juu.
 
Hivi ni kocha gani kwa sasa anaweza kutuvusha hapa tulipo.
Mbona hili swali nimeishawahi kukujibu na nilitoa mpaka sababu zangu kiundani kabisa kwa nini nilifanya chaguo lile.

Lakini kitu kikubwa sana Kwanza tunahitaji zaidi mkurugenzi wa ufundi kabla hatujaleta mwalimu mpya huyu huwa anafanya tusirudi square one. Kuna kuwa na muendelezo mzuri wa alipoishia mwalimu aliyepita.
 
Kwa akili yako unafikiri Manchester City wachezaji wao wana ubora mkubwa sana kuliko walio Manchester United? THINK TWICE!

Golini City ni Ederson Santana wakati United David Degea

Kulia City ni Juan Cancelo wakati United ni Aaron Bissaka

Kushoto City Olek Zinchenko wakati United ni Luke Shaw

Beki wa kati ni namba pekee kwangu mimi Manchester United tuna mchezaji mmoja tu anayeweza kucheza pale (Eric Bailly). John Stones, Aymeric Laporte na Ruben Dias ni mabeki wazuri ukilinganisha na Harry Maguire na Victor Lindelof ila sio mabeki wazuri sana ukilinganisha na mabeki wengine duniani kama Kalidou Koulibaly.

Kiungo wa chini anacheza Rodrigo Cascante/Fernandinho wakati United anacheza Fred/Scott.

Kiungo wa juu United anacheza Paul Pogba/Scott wakati wao anacheza Ilkay Gundogan.

Nyuma ya mshambuliaji wa mwisho City anacheza Kevin De Bruyne wakati United anacheza Bruno.

Mshambuliaji wa mwisho City anacheza Gabriel Jesus wakati United anacheza Cavani.

Mshambuliaji wa kushoto mwa uwanja anacheza Raheem Sterling wakati United anacheza Marcus Rashford.

Mshambuliaji wa kulia mwa uwanja City anacheza Phil Foden wakati United anacheza Mason Greenwood.

Jombaa, hapo nimekuwekea kwa haraka kabisa. Tofauti ya city na United ni ubora wa benchi la ufundi ila sio kwa wachezaji mmoja mmoja ni kweli kuna maeneo City wana ubora sana ila sio kwa margin kubwa kama ulivyotoa kauli ya kebehi hapo juu.
Hebu fatilia vizur Hyo Man city unayoiongelea hyo Jesus na Foden hawaanz mara kwa mara, hapo mbele ni Aguero au Sterling ndio wanachezeshwa mara nying, na kuhus winga Man city anazo za kutosha, kuna Mahrez,Silva,torres, sterling, Foden, hebu cheki hyo quality utalinganisha na sisi? Haya namba 6 wana Fernandinho na Rodrigo tuna namba 6 ya kiwango cha hao watu? Beki ya kati wametuzid, Haya, wenzetu Aguero kaumia lakin wanashinda tu, kaumia De bruyne wanashinda tu, unadhan ni miujiza ya ukocha hiyo? Unadhan asingekuwa na quality player angepata matokeo huyo Gurdiola, alivyokuja pale Man city c alikuwa Timu iliyotoka kuchukua Ubingwa aliwatumia kina korolov? C aliuza kibao pale na kila dirisha akawa anasajil wachezaj zaid ya wa 5, haya juzi hapa akapata tatizo la beki wa kati, akaomba aletewe mmoja lakin kapewa wawil Ake na Dias, sasa unadhan OGS akipewa support kama hiyo atashindwa kuchukua ubingwa au Timu kucheza vizur, we angalia benchi la Man city na wanaocheza ndani hawana tofaut, beki ya kulia anatoka Walker anaingia Cancelo, beki ya kati anatoka stones anaingia Laporte, beki ya kushoto anatoka Mendy anaingia zinchenko, winga kulia anatoka mahrez anaingia Torres, namba 10 anatoka De bruyne anaingia Silva, jamaa wana vifaa vingi sana, haya sisi Rashford anacheza chini ya kiwango tumtoe aingie nan? Pogba kaumia backup yake nan? Bissaka akiumia nan ataziba pengo? Winga ya kulia hatuna? Man city katuzid sana kwa kikosi, usithubutu kulinganisha kikoc chetu na Man city
 
Hawatuachi mkuu piga ua Mana The mighty Ole ataingia na mfumo wa kukaba mwa mwi na ndipo Pep atakapotufundisha soka, binafsi sitaangalia hiyo mechi cz huwa sipendi mpira mchafu wa kukaba kaba na kupaki basi, huyu kocha wetu ana kikosi kizuri na kinachoweza kusakata soka safi ila anapokutana na Pep huwa anapaki basi hivyo siwezi kuitazama hyo mechi.
Mkuu uingeleza mtu pekee ambaye anaweza kucheza na city halafua asipaki bus ni clop na liverpool yake tu. wengine hatuna jinsi lazima tutafute magoli ya kuvizia.
 
Hebu fatilia vizur Hyo Man city unayoiongelea hyo Jesus na Foden hawaanz mara kwa mara, hapo mbele ni Aguero au Sterling ndio wanachezeshwa mara nying, na kuhus winga Man city anazo za kutosha, kuna Mahrez,Silva,torres, sterling, Foden, hebu cheki hyo quality utalinganisha na sisi? Haya namba 6 wana Fernandinho na Rodrigo tuna namba 6 ya kiwango cha hao watu? Beki ya kati wametuzid, Haya, wenzetu Aguero kaumia lakin wanashinda tu, kaumia De bruyne wanashinda tu, unadhan ni miujiza ya ukocha hiyo? Unadhan asingekuwa na quality player angepata matokeo huyo Gurdiola, alivyokuja pale Man city c alikuwa Timu iliyotoka kuchukua Ubingwa aliwatumia kina korolov? C aliuza kibao pale na kila dirisha akawa anasajil wachezaj zaid ya wa 5, haya juzi hapa akapata tatizo la beki wa kati, akaomba aletewe mmoja lakin kapewa wawil Ake na Dias, sasa unadhan OGS akipewa support kama hiyo atashindwa kuchukua ubingwa au Timu kucheza vizur, we angalia benchi la Man city na wanaocheza ndani hawana tofaut, beki ya kulia anatoka Walker anaingia Cancelo, beki ya kati anatoka stones anaingia Laporte, beki ya kushoto anatoka Mendy anaingia zinchenko, winga kulia anatoka mahrez anaingia Torres, namba 10 anatoka De bruyne anaingia Silva, jamaa wana vifaa vingi sana, haya sisi Rashford anacheza chini ya kiwango tumtoe aingie nan? Pogba kaumia backup yake nan? Bissaka akiumia nan ataziba pengo? Winga ya kulia hatuna? Man city katuzid sana kwa kikosi, usithubutu kulinganisha kikoc chetu na Man city
Sijui kwa nini ninyi watu huwa mnachelewa kuona,ila kiukweli Ole ana uwezo Mdogo na timu kubwa kama Man U ni mzigo mzito kwake!
 
Tukiwapiga kesho clear point 17 mbele ,top of the table

Kabla ya game 5 kuisha tutakuwa tushatangaza ubingwa
 
Wakuu kesho Bruno fernandez asicheze, aanze Juan Mata. Ole pia ajitahidi amrudishe Dany Wel eck OT pale, anajua sana miiko ya pale
 
Kwa akili yako unafikiri Manchester City wachezaji wao wana ubora mkubwa sana kuliko walio Manchester United? THINK TWICE!

Golini City ni Ederson Santana wakati United David Degea

Kulia City ni Juan Cancelo wakati United ni Aaron Bissaka

Kushoto City Olek Zinchenko wakati United ni Luke Shaw

Beki wa kati ni namba pekee kwangu mimi Manchester United tuna mchezaji mmoja tu anayeweza kucheza pale (Eric Bailly). John Stones, Aymeric Laporte na Ruben Dias ni mabeki wazuri ukilinganisha na Harry Maguire na Victor Lindelof ila sio mabeki wazuri sana ukilinganisha na mabeki wengine duniani kama Kalidou Koulibaly.

Kiungo wa chini anacheza Rodrigo Cascante/Fernandinho wakati United anacheza Fred/Scott.

Kiungo wa juu United anacheza Paul Pogba/Scott wakati wao anacheza Ilkay Gundogan.

Nyuma ya mshambuliaji wa mwisho City anacheza Kevin De Bruyne wakati United anacheza Bruno.

Mshambuliaji wa mwisho City anacheza Gabriel Jesus wakati United anacheza Cavani.

Mshambuliaji wa kushoto mwa uwanja anacheza Raheem Sterling wakati United anacheza Marcus Rashford.

Mshambuliaji wa kulia mwa uwanja City anacheza Phil Foden wakati United anacheza Mason Greenwood.

Jombaa, hapo nimekuwekea kwa haraka kabisa. Tofauti ya city na United ni ubora wa benchi la ufundi ila sio kwa wachezaji mmoja mmoja ni kweli kuna maeneo City wana ubora sana ila sio kwa margin kubwa kama ulivyotoa kauli ya kebehi hapo juu.
Kwahiyo ukiwekewa uchague katika hizi pair Sterling na Rashford, Foden/ Mahrez na Greenwood, De Bruyne na Bruno na Jesus na Cavani.

Utakua katika dilemma ya kutojua umchague nani kwakua viwango vinafanana au siyo?
 
Sijui kwa nini ninyi watu huwa mnachelewa kuona,ila kiukweli Ole ana uwezo Mdogo na timu kubwa kama Man U ni mzigo mzito kwake!
Yes OGS ana uwezo mdogo sana, ila haipaswi kufukuzwa sasa hiv, mwache aendelee kusuka kikosi, kocha atakayekuja hatokuwa na kaz kubwa, Tofaut ukimtimua OGS sasa hivi tunarud kuwa kituko
 
Yaani asuke kikosi akimaliza afukuzwe aje mwingine atumie kikosi kilichosukwa na mwingine.

Wewe hii umeona wapi? Anayekuja hua anaanza kusuka kikosi chake.
 
Yes OGS ana uwezo mdogo sana, ila haipaswi kufukuzwa sasa hiv, mwache aendelee kusuka kikosi, kocha atakayekuja hatokuwa na kaz kubwa, Tofaut ukimtimua OGS sasa hivi tunarud kuwa kituko
Hakuna kitu kama kusuka kikosi then kocha mwingine aje kukichukua na kufanya nacho wonders..Hakuna.

Kama kocha hawezi kusuka kikosi kitakachompa mataji basi huyo sio kocha wa daraja la juu wa kuifundisha United.
 
Mimi kwa sasa nipo dillema

✓Najua kuna wachezaji hawastahili kuwa regular starter kwenye kikosi chetu kwani wana inconsistency ya ajabu kabisa..na kuna wengine work rate ipo juu lakini wanamiss some quality..So inabidi tupate upgrades kwenye hayo maeneo

LAKINI PIA NAJIULIZA

✓ Kocha na benchi lake la ufundi wapo vizuri?..

✓Uongozi wa juu upo serious

======

Mwisho nakuja na majibu kuwa,hayo niliyoyataja hapo ndo mjumuisho wa matatizo yetu..kwamba kwenye kila eneo kuna dosari na ndo maana tutaendelea kutoa pesa kila mwaka ila output ya kueleweka hamna.

======
 
Mambo vipi wadau?
Kitambo sijachungulia humu, hii inatokana na pilika za kimaisha ukizingatia kazi zenyewe ni ngumu na usipofanya hakuna kula wala pesa ya bando utaisikia kwenye bomba.

Duh, sio poa mwenzenu nishakata tamaa ya kutwaa upingwa wa EPL, sikutegemea kama Palace angetushika shati mara ya pili.

Sijui tatizo liko wapi? Nani wa kumuangushia jumba bovu, wachezaji ama benchi la ufundi.

Ila ninacho weza sema "kutesa kwa zamu" wenda zamu yetu ilisha pita hivyo tusubilie awamu nyingine sijui ni mwaka gani?
 
Rudisha simu ulikoitoa najua huna smartphone ...

Unaingia jf kama mwizi kwa kuibiaibia...
 
Back
Top Bottom