Usichanganye kati ya individual performance vs collective performance.Kwahiyo ukiwekewa uchague katika hizi pair Sterling na Rashford, Foden/ Mahrez na Greenwood, De Bruyne na Bruno na Jesus na Cavani.
Utakua katika dilemma ya kutojua umchague nani kwakua viwango vinafanana au siyo?
Hizo pair hapo hazina tofauti kabisa individually. Weka uhalisia wa kiuwezo tena for the fact Bruno ni zaidi ya Kevin De Bruyne pia hata Edinson Cavani anamzidi Gabriel Jesus unless it's for long term purpose kwa ssb ya umri.