Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

upo sawa kabisa lakn ebu niambie ww yale makosa anayo fanyaga ya Maguire unataka kusema kocha anausika au ni uwezo wa mcheza binafsi na kuto kuwa makini

Maguire alipokuwa leicester city alikuwa vizur sana kuna muda mbinu za kocha huwa zinaharibu viwango vya baadhi ya wachezaj huyo maguire alikuwa anakwenda city ila manchester united walimchukua haraka baada ya kuumia erick bailly kukawa hamna mbadala wa bek mwingine na ligi ilikuwa wiki moja kuanza kukawa na upungufu wa mabek ukiamuangalia rashford wa van gaal na huyu wa sosha na mourinho vitu viwili tofaut martial nae wa van gaal alikuwa fit shaw wa mourinho na van gaal alikuwa mbovu sana japo saiv kupandisha kiwango kidogo ni hivyo tu kule chelsea yule kante wa lampard alikuwa hovyo sana saiv yule mjeruman kajitahidi kumrudisha kundini
 
Mwambie ukwel huyo jamaa, City katuzid kila eneo, labda ile beki yetu ya kushoto na namba 10 yetu ndio inawazid ubora, ila baada ya hapo hamna kitu

Nikiangalia sisi tunavyocheza na vile rashford anavyokosa magoli bado anatakwimu nzuri sana mbele ya huyo dogo wa kibrazil wa city rashford angekuwa city na mpira wanaocheza ingekuwa habar tofauti wachezaj wetu wengi wanakuwa hovyo sana na mawenge hasa ukubwa wa timu na mashabiki kila kona na wachambuzi kuongea hivi manchester city wanapata wapi pressure? Unaweza kukuta hapa tanzania tu wana mashabiki 100 au 200 na hao wa kukodi hata wafanye vibaya nani anawazungumzia? Juzi pale kinondoni studio mshabiki wa arsenal kahama timu yake kahamia city anakwambia amechoka maumivu huyo atarudi siku arsenal wakiwa sawa liverpool walikuwa wachache sana timu yao ilipokuwa hovyo miaka hii 3 ya klopp umeona walivyorudi kwa kasi?

De Bruyne na Gundogan ndio wachezaj walio na sayansi ya mpira kwa city hao wengine ni mbinu bora za kocha

Wachezaj hao wa city ukimpa kocha mwingine hatoboi
 
Sasa Ole ndo inabidi afanye uliyosema na mwishoni tubebe kombe..

Kusema kuwa anamtengenezea mtu mwingine timu ni kudanganyana tu..na mfano wa Madrid na Zidane hautoshi kutuaminisha hili.
Ndio inabid apewe muda sasa, mbona hata klop alisuka kikos miaka 3+ wa 5 ndio kaja kuchukua kombe, Tumpe Muda
 
Mambo hayakua yanatiki matunda yake ndiyo unayaona sasa hivi.
Alikuwa anapanga kikoc anavyojisikia na kuweka mbinu zake za ajabu na anashinda, ila sasa hivi kikoc cha Morinyo kile kishapotea na hamna aliyetengeneza kikoc tena pale, mchek anavyohaha na kupigwa ovyo kweny mechi zake, mpka utashangaa eti ndio yeye aliyechukua UEFA mara 3 mfululizo
 
We jamaa kwl nimeamini Unashida mahali Yaan unaweza kulinganisha beki mwenye akili Kama Ruben Dias Eti na Harry maguire kwl? laporte na linderlof Dah ebu acha utani hivi unafaham toka city wamsajil Ruben Dias hawajapoteza mech hata moja kiufupi kombinesheni ya mabeki ya man city na midifield wao wako kwny form man city haitegemei forward ndo maan ukiangalia gem za hivi karibuni Gabriel Jesus anawez acfunge ila Ruben au johnstones akafunga.
Man city imekamilika ndo sababu wamecheza mech 21 bila kupoteza nirekodi Ambayo pep hata alipokuw Cataluna hajawah kuifikia. Acha man city itambe niwakati wake
Nina wasiwasi pep anaangalia sana cd za Fergie enzi anatawala epl
 
Alikuwa anapanga kikoc anavyojisikia na kuweka mbinu zake za ajabu na anashinda, ila sasa hivi kikoc cha Morinyo kile kishapotea na hamna aliyetengeneza kikoc tena pale, mchek anavyohaha na kupigwa ovyo kweny mechi zake, mpka utashangaa eti ndio yeye aliyechukua UEFA mara 3 mfululizo
Zizou lofa sana na kosa kubwa alilolifanya ni kurudi tena kuifundisha ile timu akaja kubeba ndoo kwa kubebwa mechi za mwishoni mwishoni.....
 
Mkuu hata hapo kwa namba moja wao ilitakiwa akae de gea,jamaa mweupe sana na anabebwa na city kutoshambuliwa mara kwa mara.
Na hata mashambulizi hayawi makali sana kama anayopitia dave baada ya chujio letu kutoboka pale back 4.
Angalia anachopitia Allison pale anfield.
Utakuwa na mataizo ya akili Ederson ni noma hadi ana Assit Degea ni overrated
 
naomba uongezee na hili Greenwood anayecheza right wing kama chaguo namba moja kwenye kikos bado anauwezo mdogo performance yake ni kwa match chache sana pengine tunahitaji usajili kwenye eneo hilo
Ukiangalia midfielders ambao tunao yaan namba 6 na namba 8
ambao kwa sasa n fredy na mactomy sio wapiga pasi wazuri ambazo zingeweza kuandaa timu vizuri kwenye mashambulizi wote wanaasili ya ukabaji pengine labda akiwepo pogba ndio unaona tafauti maana yy n world class....hvyo kwa haraka haraka tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kufanya hyo kazi mfano mzuri angalien uchezaji wa Tiago liverpool anapanga timu kwa pass na nimkabaji pia lakn huwez mfananisha na fred wetu pale yy yupo vizur zaid kwenye ukabaji tu kitu kinacho pelekea bruno apate wakat mgumu muda mwingiii asipokuwepo pogba
Fred ni DM wakati Thiago ni CM
 
Kumbuka pia Bruno na Pogba partnership yao imeshafeli kwa sababu timu inakosa ulinzi kwa sababu Pogba ni reckless.
 
Back
Top Bottom