Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Zama zimebadilika..Fergie kwa recruitment iliyokuwa inafanyika kipindi chake cha mwisho angekula spana mpaka akubali mwenyewe.Furgusson hakuwa na timu nzuri kama hii lakini alikuwa akibeba makombe
Sema good thing ni kwamba Babu asingekubali upuuzi wa kina Martial na wapuuzi wenzake..that's a thing for sure
