marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,092
- 1,917
Tena hasa MartialUnatamani iwe hivyo ila ndio haiwezekani, Mana Bissaka, Rashford, Martial, Fred, Greenwood, na Pogba ni wazungu ndiyo maana Ole anawapenda.
Tena hasa MartialUnatamani iwe hivyo ila ndio haiwezekani, Mana Bissaka, Rashford, Martial, Fred, Greenwood, na Pogba ni wazungu ndiyo maana Ole anawapenda.
Mbona hakuna umuhimu sasaUnatumia tena zinalika kwa kasi balaa bora ku stream
Jana Rashford kafunga goli moja katoa assist moja na goli la tatu pass imetoka kwake.Nadhani ni wakati wa rashford kupigwa bench labda akili itarudi maaana anapoteza sana mipira na anakosa sana nafasi za wazi za magoli
Aongezee umakini nafasi anazopoteza n nyingi apunguze ujingaJana Rashford kafunga goli moja katoa assist moja na goli la tatu pass imetoka kwake.
Mnataka afanye nini kingine zaidi ya kuwapa magoli ?
Kwenye mechi muhimu anapoteza chance nyingi kwasababu zinazoepukika kutokana na ubinafsi wake.Jana Rashford kafunga goli moja katoa assist moja na goli la tatu pass imetoka kwake.
Mnataka afanye nini kingine zaidi ya kuwapa magoli ?
Takwimu za Rashford zinaonyesha kuwa dogo ni lethal zaidi against big teams ambazo mara nyingi ni game muhimu kushinda.Kwenye mechi muhimu anapoteza chance nyingi kwasababu zinazoepukika kutokana na ubinafsi wake.
Yaani ufurahie chance zinazokoswa?Wakati huna uhakika kama zitapatikana,Huyo dogo amezidi ubinafsi hii pia ni sehemu ya kuchezea chance.Takwimu za Rashford zinaonyesha kuwa dogo ni lethal zaidi against big teams ambazo mara nyingi ni game muhimu kushinda.
Sikatai kwamba kuna wakati anapoteza chances muhimu lakini ni mchezaji gani ambaye hakosi nafasi za wazi duniani ?
Kwanza tunapaswa kuappreciate dogo uwezo wake wa kupata hizo chances nyingi uwanjani maana yake positioning yake na runs zake uwanjani ni dangerous kwa timu pinzani.
Ana makosa mengi ya kiufundi.Yaani ufurahie chance zinazokoswa?Wakati huna uhakika kama zitapatikana,Huyo dogo amezidi ubinafsi hii pia ni sehemu ya kuchezea chance.
Sifurahii yeye kukosa chances lakini nafurahia yeye kupata walau hizo chances.Yaani ufurahie chance zinazokoswa?Wakati huna uhakika kama zitapatikana,Huyo dogo amezidi ubinafsi hii pia ni sehemu ya kuchezea chance.
Kama yapi ?Ana makosa mengi ya kiufundi.
Hahaha sawa bos.Sifurahii yeye kukosa chances lakini nafurahia yeye kupata walau hizo chances.
Mchezaji hawezi kukupa matokeo bila kupata chancesHahaha sawa bos.
Mimi navutiwa zaidi na matokeo kuliko Jitihada.
Pia hatumii akili anapokuwa uwanjani..Yaani ufurahie chance zinazokoswa?Wakati huna uhakika kama zitapatikana,Huyo dogo amezidi ubinafsi hii pia ni sehemu ya kuchezea chance.