Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Yawezekana mikimbio yake ndiyo inayotengeneza chances nyingi kwa Bruno kufunga pia.Alipaswa kuwa far way kwa assist na sio kuwa nyuma ya bruno kwa zile nafasi anazopata
Yawezekana mikimbio yake ndiyo inayotengeneza chances nyingi kwa Bruno kufunga pia.Alipaswa kuwa far way kwa assist na sio kuwa nyuma ya bruno kwa zile nafasi anazopata
Shida ni kwamba Greenwood hapati clear chances mara nyingi km hawa wajinga wawili.
Yawezekana mikimbio yake ndiyo inayotengeneza chances nyingi kwa Bruno kufunga pia.




Yawezekana mikimbio yake ndiyo inayotengeneza chances nyingi kwa Bruno kufunga pia.



una kipaji cha kuchekesha ila hujijui tuWapi nimechekesha ?una kipaji cha kuchekesha ila hujijui tu
Wapi nimechekesha ?
Hiyo pass yenyewe imetoka kwa nani ?Sporting cp alikuwa mchezaj gan anakimbiakimbia ili bruno afunge mkuu? Point yako ya hiyo inauliwa na goli la pili la bruno angalia pasi waliyoachiana na james kisha utasema kuna mkimbio wa rashford pale?
Unautazama mpira katika angle moja tu ya kufunga magoli hapo lazima utatupa lawama kwa mchezajiSporting cp alikuwa mchezaj gan anakimbiakimbia ili bruno afunge mkuu? Point yako ya hiyo inauliwa na goli la pili la bruno angalia pasi waliyoachiana na james kisha utasema kuna mkimbio wa rashford pale?
Hiyo pass yenyewe imetoka kwa nani ?
Unautazama mpira katika angle moja tu ya kufunga magoli hapo lazima utatupa lawama kwa mchezaji
Na huo ndiyo ukweli wenyewe.tuwe wakweli wakuu ukimtoa Cavani manchesyer united haina pure number 9 hata mmoja.....
Rashford siyo striker ni left wingerNdio kaz ya striker mbona hatumsemi fred au scott kwa nn hawafungi?
Rashford siyo striker ni left winger tu.Pasi hata bailly anapiga striker anasifika kwa kufunga umewah kusikia salah au suerez au aguero wanasifika kwa assist au pasi? Hayo mapasi na assist ni ya KDB striker ni kufunga tu
Rashford siyo striker ni left winger
Sasa kama alishabadilishwa unataka aendelee kuwa striker wakati umekiri wazi kuwa alibadilishwa ?Alibadilishwa baada ya ujio wa ibra na lukaku yule toka kwenye makuz yake ya mpira ni striker
Sasa kama alishabadilishwa unataka aendelee kuwa striker wakati umekiri wazi kuwa alibadilishwa ?




Huyo dogo ni moto wa kuotea mbali.Nimetoka insta page yetu duuh diallo sidhani kama atafikisha miaka sita pale....
Dogo kama maradona tutamuuza kama tulivyouza ronaldo
Wewe si umesema alibadilishwa ?Bado ni striker ile nafasi kishaifanyia kazi vizur
Ina maana hata huyo hajui kitu
Paul Scholes insists 'future superstar' Mason Greenwood is Man United's 'best finisher' ahead of Marcus Rashford and would be a better No 9 than him despite scoring 13 FEWER goals this season