Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

siyo tu kuassist mpaka kufunga lakini hilo halifichi haya yanayosemwa.

game ya Aseno, Leicester, Everton, Westbrom kama angekuwa makini au kuacha uchoyo hizi game zote tungeondoka na points hata game ya juzi alikuwa anaondoka na mpira kama Mbappe kapata nafasi tatu za WAZI kafunga goli moja, sasa kwa mahitaji ya United kipindi hiki na kijacho hatuhitaji mchezaji wa hivi na sidhani kama kuna mtu anadoubt na uwezo wake.

kukosea ipo ila unakoseaje? mara ngapi per game? je hao wengine wanakosea kama yeye?
Umemaliza..

Tatizo watu wanadhani labda tuna ishu personal na Rashford..Tunataka abadilike
 
Rashford ni mchezaji mzuri sana msumbufu ana pace, ana kila sababu ya kuwa mchezaji bora shida yake ubinafsi of which sio mbaya sana lakini anakosa sana nafasi yani nafasi 3 anafunga moja hiyo sio poa kabisa ila namkubali sana.
Martial my favorite ooh not anymore ana nikera sana best yangu huyu jana kaingia kapiga vidali nimemwangalia nikawaza shida nini ndugu huyu? Mbona mguu ukiangalia unaona kabisa kuna vitu vingi kaficha hajatupa mashabiki zake,hivi ni nani atakae unleash huo ubeast ndani ya huyu jamaa?
Rashidi hajui kufunga magoli ya kideo mara nyingi anategemea mashuti tu, ila co mchezaji mby cz anajua how to dribble but kwenye kufunga hapana, anatumia nguvu hata sehemu ya kuinua kidogo tu.
 
Nyingi ni za nje ya box,krosi n.k..Rashford akipata mpira ndani ya box pasi hatoi yule dogo,hadi anyanganywe mpira..au afanye maamuzi too late ambapo tunakuwa tumeshapoteza nafasi ya kufunga
Kwahiyo mnatzotaka ni zile za ndani ya box ?
 
Na hyo one on one ndiyo inayomtofautisha real striker na mbahatishaji.

Hakuna mech iliniuma kama ya sevilla mwaka jana yy na martial walikosa goli nyingi sana za wazi kisha tukatolewa mech ilikuwa na goli 5 za wazi tokea hapo nikatambua striker muhimu anahitajika magoli wanafunga goli moja ktk mech 6 au 7 hizo zingine anafunga nani?

Greenwood mech ya mwisho kufunga ni FA na liverpool had leo kimya martial leeds kama sijakosea rashford ndio hiyo europa tutakaa mech 5 atafunga tena unaweza kuwa na striker wa aina hiyo?

Assist hata erick bailly anatoa na lindelof
 
Shida ni kwamba Greenwood hapati clear chances mara nyingi km hawa wajinga wawili.
 
Back
Top Bottom