Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashford ni mchezaji mzuri sana msumbufu ana pace, ana kila sababu ya kuwa mchezaji bora shida yake ubinafsi of which sio mbaya sana lakini anakosa sana nafasi yani nafasi 3 anafunga moja hiyo sio poa kabisa ila namkubali sana.
Martial my favorite ooh not anymore ana nikera sana best yangu huyu jana kaingia kapiga vidali nimemwangalia nikawaza shida nini ndugu huyu? Mbona mguu ukiangalia unaona kabisa kuna vitu vingi kaficha hajatupa mashabiki zake,hivi ni nani atakae unleash huo ubeast ndani ya huyu jamaa?
 
#OnThisDay 111 years ago, Old Trafford hosted its first-ever game .

Amad Diallo completed 3/3 dribbles in just 12 minutes vs. Real Sociedad, no forward completed more on the pitch.
Really lively debut★

#GGMU

manutd |
IMG_20210219_234704_741.jpeg
IMG_20210219_234715_716.jpeg
IMG_20210219_234332_699.jpeg
IMG_20210219_234332_234.jpeg
IMG_20210219_234332_839.jpeg
IMG_20210219_234332_730.jpeg
 
Dogo si unaturn 19..huu sio umri mdogo sana kama mchezaji ana kipaji na akili ya mpira.
Ndo umri wa kuchukua uzoefu, Mfano mzur ni Kylian Mbappe Lottin akiwa Monaco na kina Falcao alipiga dakka 90 mechi ya BVB na akatupia alaf akaja kuitoa Man City UEFA huku akicheza dakka 90

Saiv humwambii kitu tena yule dogo
 
★Basi RASHFORD kama ni hatari sana kwnye Mechi kubwa zenye uhitaji wa Kufunga unaonaje hizi ambazo si kubwa kama unazoziongelea wewe tufanye awe anakaa Benchi

Ili basi ambao wapo na wenye uwezo wa kufunga mechi ndogo zisizo stahiki ushindi wacheze,mbona Rahisi sana Mkuu
Pia sioni umaana wakumtetea mtu kisa rekodi zake hapana tunahitaji ushindi hatutaki u LETHAL wake Broh★
Takwimu za Rashford zinaonyesha kuwa dogo ni lethal zaidi against big teams ambazo mara nyingi ni game muhimu kushinda.

Sikatai kwamba kuna wakati anapoteza chances muhimu lakini ni mchezaji gani ambaye hakosi nafasi za wazi duniani ?

Kwanza tunapaswa kuappreciate dogo uwezo wake wa kupata hizo chances nyingi uwanjani maana yake positioning yake na runs zake uwanjani ni dangerous kwa timu pinzani.
 
Porojo kibao..

Wanakosa magoli kwenye big moments tunatolewa kwenye mashindano..mfano vs Sevilla,vs PSG home, n.k..
 
★Basi RASHFORD kama ni hatari sana kwnye Mechi kubwa zenye uhitaji wa Kufunga unaonaje hizi ambazo si kubwa kama unazoziongelea wewe tufanye awe anakaa Benchi

Ili basi ambao wapo na wenye uwezo wa kufunga mechi ndogo zisizo stahiki ushindi wacheze,mbona Rahisi sana Mkuu
Pia sioni umaana wakumtetea mtu kisa rekodi zake hapana tunahitaji ushindi hatutaki u LETHAL wake Broh★
Nimekuelewa vizuri sana.
 
Takwimu za Rashford zinaonyesha kuwa dogo ni lethal zaidi against big teams ambazo mara nyingi ni game muhimu kushinda.

Sikatai kwamba kuna wakati anapoteza chances muhimu lakini ni mchezaji gani ambaye hakosi nafasi za wazi duniani ?

Kwanza tunapaswa kuappreciate dogo uwezo wake wa kupata hizo chances nyingi uwanjani maana yake positioning yake na runs zake uwanjani ni dangerous kwa timu pinzani.
Wakati mwingine unawezakuta mipango ya ulinzi ya timu pinzani hawashughuliki na Rashford kisa tu hana madhara sana ndio maana anakuwa na hizo chances kibao anazokosa.
Ukweli usemwe jamani,yule dogo ni mchoyo wa pasi halafu anataka kuonekana yuko level za akina cr9.
 
Mbona Rashford ndiyo anayemfuatia Bruno kwa assists kwenye kikosi chetu sasa uchoyo unakuwaje ?
 
Mkuu inawezekana kiujumla akawa anafanya vizuri lakini kuna zile mechi ambazo timu inataka point 3 kwa namna yoyote ile ila maamuzi yake yanatugharimu mno.
Kwa mwalimu kama pep hasiti kuonyesha hisia zake kuwa umekosea. Lakini kwa ole nadhani ni ufinyu wa kikosi hasa kwa nafasi anayocheza rashford ndio maana anakula bati tu.
Rashy ni mchezaji mzuri ila kwa kipindi hiki aachane na mambo ya nje ya uwanja acheze mpira kwanza.
 
Mbona Rashford ndiyo anayemfuatia Bruno kwa assists kwenye kikosi chetu sasa uchoyo unakuwaje ?
siyo tu kuassist mpaka kufunga lakini hilo halifichi haya yanayosemwa.

game ya Aseno, Leicester, Everton, Westbrom kama angekuwa makini au kuacha uchoyo hizi game zote tungeondoka na points hata game ya juzi alikuwa anaondoka na mpira kama Mbappe kapata nafasi tatu za WAZI kafunga goli moja, sasa kwa mahitaji ya United kipindi hiki na kijacho hatuhitaji mchezaji wa hivi na sidhani kama kuna mtu anadoubt na uwezo wake.

kukosea ipo ila unakoseaje? mara ngapi per game? je hao wengine wanakosea kama yeye?

Rashford anagoli 17 goli 4 nyuma ya Bruno na assists 11 sawa na Bruno.
 
Back
Top Bottom