Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mkubwa akijamba usiteme mate.Vipi tujumuike
Mkuu nilikupinga bure kabisa yn ulichokisema ni ukweli mtupu kwmb hatuna uwezo wa kugombania ubingwa msimu huu.Sawa April ikifika tutakumbushana..
But,one thing for sure ni kwamba hatuwezi kubeba ligi na hii inconsistency tuliyonayo.
Timu gani inayoweza kumfunga City kwa sasa?..unaona kabisa hamna..ila zinazoweza kumfunga United au kudraw naye zipo kibao tu.
Mkubwa akijamba usiteme mate.
Najiandaa kuitazama mechi yenu na Leeds, naamini hamtoki.
Huyu mtoto atatu cost sn mana ana jezi no.10 Mgongoni.Lile goli lao ni utopolo mtupu..clear foul.
Yet another shambolic perfomance..
Hakuna plan kabisa tunacheza cheza tu.
Rashford mmemuona..hayupo seeious kabisa.
Co hilo tu na u captain juu, yule bubu kule nyuma avue tambala aisee.Bruno Fernandez anastahili mshahara kama wa De Gea
Uwezo.Nini kinamsumbua rashford?
Waingereza huharibu wachezaji wao kwa kuwapa vichwa pale wanapochipukia. Hiyo huwafanya kujiona nyota kabla hata hawajawa nyota. Kilichotokea kwa Theo Walcott ndiyo kinatokea kwa Rashford na ndiyo kitatokea kwa Foden na kimekwishatokea kwa Greenwood.Uwezo.
Nilisema mkuu ukawa tu unanibishia..unaingia kila mechi unacheza kama fainali vile,utabebaje ubingwa kwa utopolo huo?Mkuu nilikupinga bure kabisa yn ulichokisema ni ukweli mtupu kwmb hatuna uwezo wa kugombania ubingwa msimu huu.
Na kinachofanya tushindwe ni makosa haya hapa
1. Backs 4&5, Maguire ni kiumbe mwenye bahati duniani cz licha ya ubovu alionao lkn bado anachezea timu kubwa duniani na ndiye beki aliyenunuliwa kwa pesa nyingi zaidi na isitoshe ndiye captain, aisee inashangaza sana. Linderlof mwili mkubwa kaubongo kadoko hafai kupata namba hata west Bromwich.
2. Martial & Rashford, Ole bado anaamini kwamba hii takataka Martial ipo siku itacheza ktk kiwango kilichotarajiwa, anaingia risk ya kumuanzisha mwisho wake tunaonekana kama tunacheza pungufu mana hamna anachofanya uwanjani. Trashford matatizo yake ni yale yale mambo mengi uwanjani impact ndogo na anajiona star.
So, kwa makosa hayo machache ninayoyaona kila siku haiwezekani kutwaa ubingwa na hata top 4 tujiangalie.
Katika kuboresha kikosi, mahitaji mapya yanaibuka kila msimuNext season tatizo litakuwa forward sio beki tena
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Co hilo tu na u captain juu, yule bubu kule nyuma avue tambala aisee.
Mmeshinda ngapi?Ushindi hapo ni sheria.
Tutajificha nyuma ukoLeo tukishinda, mashabiki maandazi tafuteni pa kujificha
Bailey ni striker wa Leverkusen.Huyo dogo na yeye akimbwela mutaanza kulia lia, acheni ujinga.
Bailey anarudi muda wowote, hilo tatizo la beki litaisha.