Kila mchezaji uwanjani ana jukumu la msingi, labda kama unaongelea Ragby.jukumu la kulinda si la mabeki pekee bali ni mkusanyiko wa wachezaji wote
unapojilinda higher line kama tunavyocheza leo wachezaji wote wanapaswa kuwa bize ili kujiepusha na useless counter attack zitakazozalisha goli nyepesi kama hizi tulizofungwa.Kila mchezaji uwanjani ana jukumu la msingi, labda kama unaongelea Ragby.



Ni mzigo kwakweli... anachotaka ni kufunga yeye tu.. dogo ni bonge la selfishRashford duh