Kwani msimu umeisha? Tunaweza kushinda tisa tu na zaid ,sisi ni Chelsea bwanaligi ya mwaka huu?



wapi.. kwa chelsea hii. mkishinda hata 6 kwa shida sana. na hamshindiKwani msimu umeisha? Tunaweza kushinda tisa tu na zaid ,sisi ni Chelsea bwana![]()
Dogo anaanza kuumbua watu huko
Anaanza XI au ndio anakalia mkeka?Loan, Ac Milan.
Hii c kawaida tu, hujaona ronaldinho akipigwa dari?
Sio Ronaldinho wa miaka 23Hii c kawaida tu, hujaona ronaldinho akipigwa dari?
Mbona Green wood simuoni hapo?
Hapo wasio na majina namuona bissaka, Rashidi, Bruno, na Cavani huyo mwengine nadhani ni Martial★Manchester United 9-0 Southampton
The Red Devils torture the Saints in hell★
#GGMU
manutd |View attachment 1694717





Duh kajamaa ni kadogo kweli kweli, wenzetu wa west Afrika huwa wanaenda ulaya wakiwa wadogo, wana enjoy matunda ya miti waliyoipanda baba na kaka zao.
Madogo kama Greenwood wanakuwa ni homegrown under 21..na wanawekwa kwenye list B..Mbona Green wood simuoni hapo?
Ngoja nivae miwani kwanza.
Mbona Green wood simuoni hapo?
Ngoja nivae miwani kwanza.
Duh kajamaa ni kadogo kweli kweli, wenzetu wa west Afrika huwa wanaenda ulaya wakiwa wadogo, wana enjoy matunda ya miti waliyoipanda baba na kaka zao.