Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama mkuu wewe ni kocha unaishusha timu daraja kati ya wote uliowataja hamna wa kumuweka bench jack hapo
tatizo unaangalia match za united tu, ungekua mshabiki wa astonvilla usingeandika hivi. Martial na Rashford ni generational talents. Grealish hawezi kupiga faulo wala mashuti anayopiga Rashford, wala hana close controls kama za Martial. Kinachomfanya ang'ae huko villa ni ubinafsi na manguvu.
 
Aisee????
 
Duh.
 
Hatar sana mpira mchezo wa wazi jack anaweza kukaa na mpira atakavyo na kutengeneza nafas kibao za kufunga hao wetu wanaweza hayo? Nawapenda sana wachezaj wangu ila jack habar nyingine
kwahiyo uwezo wa grealish ni kutumia nguvu kukaa na mipira ili atengenezee watu nafasi, sasa huyo wa kumlinganisha na Martial kweli?
 
Ferdinand said.

"Can you imagine that team, if you had Scott McTominay holding, Pogba alongside him, maybe a bit higher, Bruno (Fernandes) in the 10, Grealish on the left, Rashford up top and Greenwood on the right?

Naona wengi kufeli kwa samatta mnafikir ni Grealish uchoyo wake
 
Rashford yupi up top? Rio nae mzinguaji tu. Up top unahitaji mtu wa tap ins, mavichwa n.k Marcus hafit hiyo sehemu. Yeye ni wa kushoto, chenga moja shuti wavu. Pogba nae ni mzuri timu ikiwa imebanwa halafu mabeki wa timu pinzani wanapanda kwasababu uwezo wake ni pass ndefu (diagonals) tu. Kwahiyo kwa pass ndefu anaanzisha counter halafu goli. Kwahiyo pogba ni wa game specific sio mchezaji wa timu ya muda wote. Grealish hana nafasi united, na Samatta alishindwa kwasababu hana nguvu ya kushikilia mpira sio kwasababu ya Grealish.
 
Hahahaha sasa kama unabishana na mtu aliecheza mpira mi ntakuweza kila heri mkuu tuishie hapo
 
kuna mzee yupo twitter, shabiki mwenzetu, anaitwa Rick The Red, hua anachambua point kwa point umuhimu wa wachezaji wa united ( haswa Martial), muangalie uje utoe mrejesho.
 
Ferdinand said.

"Can you imagine that team, if you had Scott McTominay holding, Pogba alongside him, maybe a bit higher, Bruno (Fernandes) in the 10, Grealish on the left, Rashford up top and Greenwood on the right?

Naona wengi kufeli kwa samatta mnafikir ni Grealish uchoyo wake
McTominay kama holding bado

Na uptop tunahitaji a real goal scoring machine..

Rio aache kuzingua.
 
Rashford alikirudi kuwa center foward hawez kufanya hiyo kazi mkuu kama kukawa na watu makin nyuma yake?
 
Hawezi hiyo kazi mkuu..

Rashford ashazesha hiyo nafasi kipindi fulani..Ole mwenyewe akaona hapa hamna..kipindi kile Lukaku anatokea kulia..Martial anaweza kuwa na impact kushinda hata Rashford kwenye hiyo position..But again wote ni average kwenye hiyo nafasi.

Dogo acheze kwenye wings..
 
Lingard aanza kwa kishindo
IMG_20210204_165103_771.jpg
 
Back
Top Bottom