Oya wakuu nimemuangalia huyu mtoto namuona Messi wa under 20, nawaambia ukweli huyu mtoto waingereza hawamuachi aende akawakilishe Ivory Coast, wanamchukua huyu mtoto save this comment.
Italy U21 walimuita dogo kawachomolea: ndoto yake ni kuiwakilisha timu ya taifa ya Ivoty Coast.Oya wakuu nimemuangalia huyu mtoto namuona Messi wa under 20, nawaambia ukweli huyu mtoto waingereza hawamuachi aende akawakilishe Ivory Coast, wanamchukua huyu mtoto save this comment.
Oya wakuu nimemuangalia huyu mtoto namuona Messi wa under 20, nawaambia ukweli huyu mtoto waingereza hawamuachi aende akawakilishe Ivory Coast, wanamchukua huyu mtoto save this comment.
Anampa gametime azoee English football ataingia tu huko first eleven.Sijajua sosha katumia vigezo gan kumchezesha huko under 23 wakat huyo dogo kacheza atalanta timu ya wakubwa
So,Pogba on the left?..Tunapunguza nguvu kwenye attack..Tukiwa na Greenwood na Rashford kwenye flanks tunakuwa lethal zaidi IMO..Pogba na Fred naamini wanaweza kuwa discplined enough katikati pale na mambo yakaendaHii mechi ngumu mkuu ,,,inabidi tuwe na holding wawili !!!!
Hapo ndipo atafeli ss, aachane na mambo ya huku kusikokuwa na shukurani, Messi mpk leo angekuwa the greatest km angekubali kuiwakilisha Spain japo kwa Messi haikuwa mby cz Argentina ni nchi kubwa kimpira but kwa Africa simshauri kabisa, huku kuna upuuzi mwingi mno, chuki, kijicho plus misumari.Italy U21 walimuita dogo kawachomolea: ndoto yake ni kuiwakilisha timu ya taifa ya Ivoty Coast.
Pogba wacha akae juu mkuu.So,Pogba on the left?..Tunapunguza nguvu kwenye attack..Tukiwa na Greenwood na Rashford kwenye flanks tunakuwa lethal zaidi IMO..Pogba na Fred naamini wanaweza kuwa discplined enough katikati pale na mambo yakaenda
Tumekuwa waoga sana aisee..Pogba wacha akae juu mkuu.
Bingwa si anatokea kwenye top 4!!?Kwahiyo mnagombania top four sio ubingwa tena





Tunacheza na Everton kesho saa tano usiku na itakuwa siku ya kuwakumbuka watu wetu kwenye ile ajali ya ndege ya Munich..Ushindi utakuwa mzuri sana kuonyesha kuwa United spirit bado ipo.
•••••••••
My Starting XI vs Everton
==========
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fred Pogba
Greenwood Fernandes Rashford
Cavani
============
✓Digne+Richarlson inabidi wawekwe mfukoni..kazi itakuwa nyepesi
✓Bailly naye kama zile beki za Liverpool,kila muda anaumia hata kama hachezi..
✓Wazee ambao mna MUTV na mnacheki games za U23 mtuambie Amad perfomance yake vipi?
GGMU
Ole ni racist apendi watu weusi wawe wengi first elevenSijajua sosha katumia vigezo gan kumchezesha huko under 23 wakat huyo dogo kacheza atalanta timu ya wakubwa
Kisingepata ajali hiki kikosi tusingekuwa na CL 3 mpk leo, zingefika hata 6.★On the 63rd anniversary of the tragic Munich Air Disaster, we take a moment to think and pay respects to those who lost their lives. A broken plane A broken dream A broken heart A broken team No words said A silent vow We loved you then, we love you now.★
#FlowersOfManchester
#GGMU
manutd | View attachment 1695843
Yaani daaahh....!!✓Hannibal Mejbri
✓Amad Diallo
✓Teden Mengi
✓Facundo Pellistri
Academy yetu sio mbaya na graduates watu wengi wanafika level flani nzuri..I'm looking foward kuona mchango wa hao madogo niliowataja pindi watakapokomaa