Lord Lingard anatakata tu
Hizo ndo tm zao hao co hz kubwa.Siyo kwa kasi hii ya Leo, huyu ndo Lingardinho.
Hivi ndo wanasemaga hawajawahi kufungwa anfield?Klopp atazungumzia kadi nyekundu walizopewa the saints zimechangia wao kufungwa![]()




ligi ya mwaka huu?Kwani Chelsea hatukuwahi kushinda tisa? Mara mbili?
Lingard kafungua akaunti ya kucheka na nyavu huko kudadeki zakeLiverpool wakiliwa vichwa huwa nafurahi sana..
Ni kitu kizuri..Lingard kafungua akaunti ya kucheka na nyavu huko kudadeki zake
Au jamaa alikuwa anatuchora pale OTNi kitu kizuri..
Amejifunza vitu kutoka kwa BrunoLingard kafungua akaunti ya kucheka na nyavu huko kudadeki zake

Huyo wa juu asirudi kabisa huku.Lingard - 2 Goals (West Ham)
View attachment 1693857
Chong - 1 Goal (Club Brugge)
View attachment 1693860
Lingard kafungua akaunti ya kucheka na nyavu huko kudadeki zake
Abaki uko uko.Ni kitu kizuri..
Ndo tm zao zile usibabaike mkuu, hao ndo kina lukaku.Au jamaa alikuwa anatuchora pale OT
Hahah! Lingardinho namuona kabisa anarudi OT.Huyo wa juu asirudi kabisa huku.
Huyo wa juu asirudi kabisa huku.
EPL TOP 4 - 20/21
1. ___________________
2. Manchester United
3. ___________________
4. ___________________