The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Grealish fundi mkuu tuache mzaha, labda pengine naye ni mchezaji wa tm ndogo but mchezaji wa tm ndogo huwa anajulikana ukimuona tu.Grealish amemzidi nini Martial?
Grealish fundi mkuu tuache mzaha, labda pengine naye ni mchezaji wa tm ndogo but mchezaji wa tm ndogo huwa anajulikana ukimuona tu.Grealish amemzidi nini Martial?
Ok,Kitu gani kinamfanya awe tofauti na Martial?Grealish fundi mkuu tuache mzaha, labda pengine naye ni mchezaji wa tm ndogo but mchezaji wa tm ndogo huwa anajulikana ukimuona tu.
Collective responsibilities inaamua ubingwa na huwezi ku point tu et mwalimu mbovu.NARUDIA TENA KUSEMA, HUU MSIMU KAMA TUNGEKUWA NA MWALIMU MZURI KWA JINSI BAADHI YA GIANT TEAMS ZINAVYOPEPESUKA TULIPASWA KUCHUKUA UBINGWA, ILA KWA KUWA MWALIMU MKUU WETU NI OLE GUNAR SOLSKJAER NAJITANGULIZIA POLE SANA!
HII LIGI ITAAMULIWA KWA SPIRIT YA WACHEZAJI + MBINU ZA MWALIMU ZILIZOKOMAA!! MWALIMU WETU HAMUWEZI PEP!!
Ushasikika.NARUDIA TENA KUSEMA, HUU MSIMU KAMA TUNGEKUWA NA MWALIMU MZURI KWA JINSI BAADHI YA GIANT TEAMS ZINAVYOPEPESUKA TULIPASWA KUCHUKUA UBINGWA, ILA KWA KUWA MWALIMU MKUU WETU NI OLE GUNAR SOLSKJAER NAJITANGULIZIA POLE SANA!
HII LIGI ITAAMULIWA KWA SPIRIT YA WACHEZAJI + MBINU ZA MWALIMU ZILIZOKOMAA!! MWALIMU WETU HAMUWEZI PEP!!
Rashid ni zaid ya Grealish. Dogo ni hatari msimchukulie powa kiivoHatar sana mpira mchezo wa wazi jack anaweza kukaa na mpira atakavyo na kutengeneza nafas kibao za kufunga hao wetu wanaweza hayo? Nawapenda sana wachezaj wangu ila jack habar nyingine
Yuko Italy mkopo na achezea AC MilanHivi Dalot yupo wapi?
Rashidi ni mzuri ila ana ujinga mwingi, but aki badilika akarekebisha maujinga yake ni bonge la mchezaji.Rashid ni zaid ya Grealish. Dogo ni hatari msimchukulie powa kiivo
Lini hii.
Lini hii.