Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,782
Wewe waache tu, sasa hivi tunaenda na staili ya kukupumulia kwa nyuma ..hakuna kitu kibaya kama kupumuliwa kwa nyuma, mana hujui wa nyuma yako anakujaje na atakufanyaje ..Swafi sana maana City anafikiri atakuwa bingwa kwa idadi ya mabao safari ataona cha mtema kuni
#tisabila
