Mashabiki wa man united wamegoma kupanda daladala hapa tegeta wakiitaka serikali ikague mfumo wa break wa gari kwa ajili ya usalama wao







Hakika mkuu..Karopoka tu huyo.
Si unajua goli 9 zimewalevya wengi!
Kuna watu mtaani kwangu wakiniona wanatoka nduki.
Kumbuka kipara aliwahi chukua ndoo kwa tofauti ya pointi mbili tuSwafi sana maana City anafikiri atakuwa bingwa kwa idadi ya mabao safari ataona cha mtema kuni
Siyo kwa kasi hii ya Leo, huyu ndo Lingardinho.Lord Lingard anatakata tu
Mimi nakujua ,Baada ya week 2 utarudi kwenye Default settings yako ya lawama.
Mimi nakujua ,Baada ya week 2 utarudi kwenye Default settings yako ya lawama.
Liverpool atagonwa sanaa mana hadi now Clopp hajajua tatizo lake ni nini mana anadhani issue ni back lakini ukweli ni kwamba tatizo la liverpool ni ThiagoKimeumana huko Liverpool, Sasa hatuna pressure ya kufatwafatwa na huyu jogoo.
Stats not lie 
IdiotLingard has more open play goals than De Bruyne in epl this season
Stats not lie
![]()
Nilishasema uwezi kuwa bingwa Bila kushinda games za big six mkanibishia humu nyie pambaneni na top four tu
Lingard has more open play goals than De Bruyne in epl this season
Stats not lie
![]()


lord lingardLiverpool atagonwa sanaa mana hadi now Clopp hajajua tatizo lake ni nini mana anadhani issue ni back lakini ukweli ni kwamba tatizo la liverpool ni Thiago



