Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbe inakuuma mpaka leo

Umewahi kuona naizungumzia mahali? Tumefukua makabur baada ya huyo jamaa yako kuja na post za kitoto hapa visingizio kibao mara hao saints ndio tradition yao kufungwa hizo goli au pengine hajui maana ya tradition timu imefungwa goli 9 mara mbili mtu anakwambia ni tradition????? hiyo misimu mingine nani kawapiga 9 kama ni tradition yao? Kama mtu huna cha kupost na kutoa kejeli bora kukaaa kimya tu unaweza kujiabisha hadi tunauliza huyu anajua maana ya neno analotumia?
 
★Manchester United’s 9-0 win against Southampton tonight equaled the biggest ever winning margin in a Premier League game.★

#GGMU

manutd |
IMG_20210203_123847_033.jpeg
 
Na bado shaw anacheza na wakina martial ambao ufungaji wao unatia shaka ndio maana assist hakuna za kutosha
Hio Ndio keypass maana yake. Key pass ni aina ya passi ambayo inafaa kuitwa assist.

Luke shaw Ana key pass nyingi kuliko Robertson wakati Assist Robertson anazo nyingi kuliko Shaw.

Hii ina maana wamaliziaji wengi wanakosa Magoli Man U kwa pasi za Shaw compare na Liverpool pass za Robertson.
 
Good 3pnts!

Shaw ameimprove Sana , same kwa AWB, hasa upigaji wa Kross !!!

Fred was awesome

Good to see martial one score sheet, ata-gain confidence !!!


Kuna save moja hivi ya de gea, nadhani mpira wa adhabu ulipigwa na ward powse,,,ile save ukienda nayo bank unapewa mkopo within a second !!!

Points 3 za shelfield tutazikumbuka Sana , anyway!!!!!

#GGMU
Na za Liverpool.
 
Baada ya arsenal kushinda sinia na birika wengi walijua top 4 au ubingwa ni lazima manchester united hatukufikiriwa cha ajabu washika manati wa london hata dalili ya kushika nafasi ya 7 hamna maana kibarua cha kwanza apambane na aston villa kabla ya spurs na everton hapo chelsea west ham nao kikwazo kwake ambao kawazidi michezo kibao na wanamshinda point

Kwa hiyo makasiriko kujaa hapa ni lazima
Washika manati wanasema msimu huu hawataki ubingwa wala top 4 hawana mpango nayo, wenyewe wanatengeneza timu tu.

Kwahiyo tuwaache watengeneze timu tu, wakiwa tayari watatuambia.
 
Back
Top Bottom