selfmade99
Member
- Feb 2, 2021
- 6
- 4
Bro acha kufananisha kifo na usingiz bruno ni mtoto mdogo sana kwa salah mdogo wang salah ni world classic play
Siku kama 10 zilizopitaHii ilikuwa Mwaka gani embu tukumbushe Chief
Siku kama 10 zilizopita
Bruno ni striker?Hili la Bruno linafikirisha sana
Bao 9 bado ww ni penalty tu kufunga?
Mhhh
Sawa sawa!!Wale wa Southampton tujuane mapema..
Kuna jitu litakufa leo..
1. Kigezo cha full back ni assist tu?Hahahahahahahahah Best left back EPL this Season, Kwa kipi ,kwa Product gani @ Chief-Mkwawa kwa Statistics zipi????
ROBERTSON Ana Assist 5 na Goli 1 mpaka sasa.
CHILWELL Ana Assist 4 na Goli 2.
Old Trafford, nimechapiaAisee Chief unazeeka game ya Anfield si iliisha 0-0
Tutaamka saa tisa leo, mutuwacheNyie bado tu hamjaamka
Nyie watu mnaonyesha jinsi gan mlivyo biased.Hili la Bruno linafikirisha sana
Bao 9 bado ww ni penalty tu kufunga?
Mhhh
Hayupo Left back yoyote EPL wa kumfikia Robertson ni HAYUPO .1. Kigezo cha full back ni assist tu?
2. Robertson mbovu defense, AWB sio mzuri kivile kwenye ushambuliaji Ila alivyomkuta akawa anamgeuza geuza tu.
View attachment 1693194
3. Shaw ni mzuri kwenye kushambulia kama vile alivyo mzuri kwenye kukaba, anacheza hadi CB kwenye 3 back.
Toka mwaka huu uanze hakuna hakuna full back aliecheza key pass nyingi kuliko shaw, na ni stats za juzi kabla ya mechi ya jana ya 9-0 ambayo ametoa assist.
Hili la Bruno linafikirisha sana
Bao 9 bado ww ni penalty tu kufunga?
Mhhh
Umeshaosha vyombo lakini?Martial vipi auzwe?
Hahaha et ushindi mwembamba dah umetisha.japo ushindi mwembamba ila tuendelee kulindwa tuu..
😂😂😂
Jamaa anaumia baada ya record yao ya kufungwa goli nyingi kuvunjwa.
Joao CanceloHayupo Left back yoyote EPL wa kumfikia Robertson ni HAYUPO .
NO ONE COMES EVEN CLOSE kwa EPL Hakuna.
Best left back in world football kwa sasa ni
Robertson
Alphonso Davies .
NBA
Mpaka sasa ligi ilipofika only defender aliye create More Big chances in the Premier league ni ANDY ROBERTSON Tu.
Nimekuuliza swali hapo Luke Shaw amemzidi nini Lucas Digne wa Everton, Au Amemzidi nini Chilwell????
Ah wapi huo ni wivu tu.Yule bila penat ni kama molinga tu mkuu
Kuna rekodi yoyote tuliyoweka kweli??