Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Hako ka jamaa kanateseka sana na bruno halafu ndio tuvimba macho twenyewe huto post zake nyingi za wivu tu vile vijitu vyenye roho mbaya vinatafuta namna ya kujipoza machungu kwa kufosi makosa

Huko liverpool hivi hamna mchezaj wao aliepiga penat toka hiyo timu ianzishwe kakija hapa ni bruno tu sijui kakafanya nn katanzania ke nzetu mbona salah na mane wanapiga sana penat kuna mtu ana muda nao?
Afungwe Southampton wateseke wengine
 
Shaw amenyimwa assist nyingi sana, kifupi by far Ndio best left back EPL msimu huu
Hahahahahahahahah Best left back EPL this Season, Kwa kipi ,kwa Product gani @ Chief-Mkwawa kwa Statistics zipi????

ROBERTSON Ana Assist 5 na Goli 1 mpaka sasa.

CHILWELL Ana Assist 4 na Goli 2.

Luke Shaw anatofauti gani na Lucas Digne wa Everton LOOK AT THE STATS.
 
Back
Top Bottom