OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Hahahaha hahaBRUNO FERNANDES Timu inashinda Goli 9 Still bado magoli yake ni ya PENALTY tu.
Hahahaha hahaBRUNO FERNANDES Timu inashinda Goli 9 Still bado magoli yake ni ya PENALTY tu.
Hata Liverpool ni tradition yao kuconcede goal 7 kutoka kwa Aston Villa.Southampton ni traditional yao ku conceded Goli 9 a game each season NO suprise here Hakuna cha ajabu mlichokifanya.
Jamaa anaumia baada ya record yao ya kufungwa goli nyingi kuvunjwa.Basii umefanyaa wew cha ajabuu,,,,,
Southampton ni traditional yao ku conceded Goli 9 a game each season NO suprise here Hakuna cha ajabu mlichokifanya.
BRUNO FERNANDES Timu inashinda Goli 9 Still bado magoli yake ni ya PENALTY tu.
Mmesahau kuweka status!
Nani haogopi shetani?hahaaHili la Bruno linafikirisha sana
Bao 9 bado ww ni penalty tu kufunga?
Mhhh
Dah... ajabu nini hapo. Huoni mangine lingine wamejifunga. Kawaida mpikaji huwa anaonja tu akiwa jikoni finally wanaoukula ni wale waliopikiwa. Nadhani umenielewaHili la Bruno linafikirisha sana
Bao 9 bado ww ni penalty tu kufunga?
Mhhh
andika barua ya kupinga matokeo. huenda ukasikilizwaReferee kaharibu mechi.
Apa kuna jitu linatengenezewa ubingwa.
kuna shida ?Goli 9
Hakuna cha ajabu hapo huo ndio ukweli......Leisure alimpiga Saint 9 kwa Red card 1 Last season unashangaa Manchester kushinda Goli 9 kwa Red card 2.
Kumbukumbu yangu ya kuzaliwa nitaanza vizuri mwaka.. Huu
GGMU
Hawawezi kukujibuMartial vipi auzwe?