OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Nimechukua hii picha kwa matumizi ya badaeVoice captured technology
Xhaka "nyie wote mafala tu"
Mnajua kwanini mnaitwa nyumbu?? Check mnavyo fatana fatanaView attachment 1691078




Nimechukua hii picha kwa matumizi ya badaeVoice captured technology
Xhaka "nyie wote mafala tu"
Mnajua kwanini mnaitwa nyumbu?? Check mnavyo fatana fatanaView attachment 1691078




Kwenye hii table tutapindua meza..



Leo inabidi vijana wakaze ili tutoke na points 3.
Kuna jamaa wanakuja kwa speed huko nyuma.
acha kutuombea mabaya mekuMkuu game ya leo mtapata sare
Mkuu game ya leo mtapata sare
Southampton
Piga mbwa hawa, OT pamekua kama karume hivi
Southampton hahaha dah
Hapa game ishaisha mapema![]()
Wale wa Southampton tujuane mapema..
Kuna jitu litakufa leo..
Njoo uone mbwea anavyo papaswaUmeshaosha vyombo lakini?
Ulikuwa hujui auuu.Hahahahahah hivi Papaa Gx ndo The Boss1![]()
Hivi Huyu Cavani si racist?
Mara ya mwisho Phil Jones kucheza ni mechi yetu na Shelfield United tuliyotoka 3 -3Jones sijui ni lini alicheza ila eti ni majeruhi..huyu tusubiri tu mkataba wake uishe
Kuhusu Rojo it's confirmed kuwa hatuko naye tena..Kaenda Boca Jr
taarifa za redmond na bertrand zipoje?Mara ya mwisho Phil Jones kucheza ni mechi yetu na Shelfield United tuliyotoka 3 -3
haijalishi ni vampire au ni kitu gani. anachezaHivi Huyu Cavani si racist?
Game ni ngumu sijajua kama watakuwepo au lah .taarifa za redmond na bertrand zipoje?