Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Atleast cavani pamoja mzee ila hawa madogo utadhani yamekua mababuMbona humsemi Cavani na ukongwe wake wote anakosa nafasi kama zile
Atleast cavani pamoja mzee ila hawa madogo utadhani yamekua mababuMbona humsemi Cavani na ukongwe wake wote anakosa nafasi kama zile
Mfano ile krosi ya AWB ilibidi afunge pale kabisa.Cavani mbona hamumsemi nafasi alizopoteza
Acheni kupendelea
Cavani mbona hamumsemi nafasi alizopoteza
Acheni kupendelea
Hivi kipindi cha pili Bruno Fernandes alicheza?
Na hapo tunaambiwa yupo kwenye kilele chake cha ubora wa hali ya juuRashford is another virus...
Heda ilihusika ila mwenzetu kawaza kupiga chengaView attachment 1690182
I cant believe this..
Shoga YuleHivi kipindi cha pili Bruno Fernandes alicheza?
Kafunge wewe sasaMfano ile krosi ya AWB ilibidi afunge pale kabisa.




Na hapo tunaambiwa yupo kwenye kilele chake cha ubora wa hali ya juu
Usimtetee ni mbovu tuSio m-bovu kivile
Tatizo lake kubwa ni uchoyo....sijui hajui maana ya team?
Huwa ananiudhi hii tabia, kila camera zikimnasa yeye ni kutema mate tu, ananikera sn hii tabia.Rashford yeye kazi kutema mate tu
Hata CR7 mlisema hivyo hivyo but akawa anawa prove wrong kila uchwao.BRUNO FERNANDEZ .
HATOFIKA MBALI ANAMPIRA WA KIPUMBAVU SANA.
KUJIDONDOSHA TU NA KUTUKANA WENZAKE KANALIWA AKA KARENO
Kweli kabisa mkuu.Ole hamna kitu
Ole hamna kitu
Ole hamna kitu
Unataka ubingwa mpaka Sasa hujashinda game kubwa hata moja kwenye EPL
Hawa wapuuz arsenal Wana quality gani ya kutoa draw na sisi?
Tukipanga kikosi cha combine yetu na arsenal ni mchezaj mmoja tu ndo anaweza pata nafasi.
Hatuwezi chukua ubingwa na huyu kocha. Itakuwa ni kutufariji tu mwisho wa siku nothing
Kwenye kuucheza mpira hilo halina ubishi tatizo kuna wachezaji huwa wanatukosesha magoli mfano rashford na mwenzake Martial ni wajinga sn hawa watoto, huwa wanakosa magoli kizembe na kwa bahati mby huwa nafasi nzuri vinapata vyenyewe daah alafu vina namba kubwa mgongoni.Nimeangalia mech kwa utulivu sana hii ole anajilewesha kikosi kiliachoanza ndio alitakiwa akitumie timu inacheza vizur sana cavan na fred watu muhimu sana kwa sosha
Hapa ndipo anaweza kutengeneza kikosi cha kwanza kamili
Shida ipo kwa rashford hiki nacho kirusi chief mkwaawa anawatetea sana hawa wapuuzi
Fred fred fred hatakiwi kukosa mech yoyote labda aumwe
Vijana wamecheza vizur sana
Ooh kumbeLFC
Nasubiria km ntawapopoa leo