Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo hawa vibonde wameshinda vimechi viwili wameanza kujiona ni team inayoeleweka, wamesahau juzi tu walikua kwenye relegation zone.
 
Tangazo tangazo

Mnaoingia msibani kwenye huu uzi, hatusafirishi.
Tunazika makaburi ya magereza. Asante
 
Ivi mtu we! Ikatokea tukakufunga utaweka wapi sura yako?
Saa mbili sio mbali
Leo ni mwendo wa fimbo tu, hakuna neno "ikitokea" kwenye kamusi ya arsenal

Leo mnakufa 3

Kama mkikata viuno vizuri ata 5 mnakufa
 
Ushindi ni lazima..
20210130_193244.jpg
 
Pogba, Bruno, tommy, Fred

Hao wote wamewekwa kupambana na partey

Leo mtapigishwa kila style hakuna rangi mtaacha kuona manyumbu
 
Chimbo hili mkuu ni JITEGEMEE sio MAKONGO no cha Mwajiri no cha tajili.

Ukiyapa yako na ulio fanya nao kazi, ukiyakosa unaendelea kutubu, no kula mpaka suruali inapasuka.

Mbaya zaidi ukikamatwa polini ni jela miezi 6 bila msamaha.
Kiufupi mkuu huku ni kama jela ya kujitakia tu.
Utamlaumu nani na shule tuliona uzushi?
Ngoja tuondelee kukaza.
Hahaha sawa sawa pepeta mchizi wangu ..ila man u achananayo njoo Chelsea huku, utapiga jiwe hatari zaid ya mzee Laizer
 
Wale ndugu zangu wa Arse8 tujuane mapema.
Nasema hivi ..wale wa Arse8 tujuane mapema...

Au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom