Kajifunze kuandika vizuri.Nawakumbusha mnaenda mwaka wakumi huu bila ubingwa na bado labda klop na gadiora wasiwepo
Kwenye kuucheza mpira hilo halina ubishi tatizo kuna wachezaji huwa wanatukosesha magoli mfano rashford na mwenzake Martial ni wajinga sn hawa watoto, huwa wanakosa magoli kizembe na kwa bahati mby huwa nafasi nzuri vinapata vyenyewe daah alafu vina namba kubwa mgongoni.
Hatuwezi kurudi kwenye makali yetu mpk hv vipumbavu viwe vinakaa benchi, yn tupate wachezaji wa ku replace hv vitoto na namba tuvibadilishe japo kamoja ndo kanatakiwa kaondoke kabisa kwenye hii timu.
Kwani cavani ana ujinga wa hao uliowataja..Zile nafasi alizopata Cavan zingekuwa za kina Rashford na martial nafikiri mngewatoa machoo
Alikuwa hana ushoga wa Bruno.Hata CR7 mlisema hivyo hivyo but akawa anawa prove wrong kila uchwao.
Ha ha haHuwa ananiudhi hii tabia, kila camera zikimnasa yeye ni kutema mate tu, ananikera sn hii tabia.
Sawa dada umesikikaKajifunze kuandika vizuri.
Sasa si wengine wangekua kwenye form. Umeandika ujingaKUNA KITU HAMTAKI KUSEMA, BRUNO HAKUWA KWENYE KIWANGO JANA. SHIDA ILIKUWA HAPO TU.
Tuliaa kijana...!!Sasa si wengine wangekua kwenye form. Umeandika ujinga
Labda niwape taarifa msimu ujao wembe ni ulele
Kama sio point 6 unanipa 4
Tuliwakula tunda kimasihara naona jana mmetunyima mchezo magetonTuliaa kijana...!!
Tuliwakula tunda kimasihara naona jana mmetunyima mchezo mageton
Tukutane msimu ujao
Nitajie strikers yeyote duniani ambaye hajawahi kukosa clear chances.Kavani alipata three chances clear mbona hakufunga?
Kwamba el matador ni titi Tu😂Nitajie strikers yeyote duniani ambaye hajawahi kukosa clear chances.
Inatokea Mara nyingine kukosa nafasi ya kufunga. ,,may be it wasn't a lucky day for cavani ,,
lakini sio kukosa clear chances kila mechi...kama rashfod na shoga yake..
Elmatador is a breast..
Hawa nyumbu ni wateja wetu kwa muda sana, ni mwaka wa 5 huu hawapati kitu.
Msimu ujayo tunahakikisha tunaondoka na point zote 6.
Mkuu mimi nilikuwa #olein kwa muda mrefu sana, nishamtetea sana huyo mwamba ila enough is enoughKweli kabisa mkuu.
Hiyo haikuwa clear chance.