Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH.

Hii ndio MANCHESTER UNITED Ninayoijua sasa.
 
Ole hamna kitu
Ole hamna kitu
Ole hamna kitu

Unataka ubingwa mpaka Sasa hujashinda game kubwa hata moja kwenye EPL

Hawa wapuuz arsenal Wana quality gani ya kutoa draw na sisi?

Tukipanga kikosi cha combine yetu na arsenal ni mchezaj mmoja tu ndo anaweza pata nafasi.

Hatuwezi chukua ubingwa na huyu kocha. Itakuwa ni kutufariji tu mwisho wa siku nothing
 
Tuliwafunga kwenu na hii sare mshangilie nyie mna ubavu gani wa kusare na sisi mkiwa na huyo Ole Sendeka wenu.

Arsenal tunaumia sana kupoteza point 2 kwa mwanitesa United inabidi tuweke msiba.
 
Nimeangalia mech kwa utulivu sana hii ole anajilewesha kikosi kiliachoanza ndio alitakiwa akitumie timu inacheza vizur sana cavan na fred watu muhimu sana kwa sosha

Hapa ndipo anaweza kutengeneza kikosi cha kwanza kamili

Shida ipo kwa rashford hiki nacho kirusi chief mkwaawa anawatetea sana hawa wapuuzi

Fred fred fred hatakiwi kukosa mech yoyote labda aumwe

Vijana wamecheza vizur sana
 
Back
Top Bottom