Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Rashid kuna Mda huwa anaamua tu kutukera game hii hata kutoa droo ni aibu kubwa sana kwa Manchester United
Kwani we unaangalia mpira gani?Pepe leo anawatia
mwenye link aweke hapa nifuatilie mpambano, wengine tuko makazini
Wanaendelea kubana mapaja.Oyaa ngap ngap matakataka..
HahahahahahahahahahhaaYaani uchukue ubingwa na Rashford sijui Tuanzebeitakuwa sio heshima walahi
shukran mkuu, ngoja nianzie second half![]()
VdB??Sure thing naona Greenwood au VdB wam-replace mapema.
Sawa GigyIkikuuma chomoa
Hutuna kocha hapaSielewi kwanini hata afanyi sub