kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Mchukueni ndondo leo awasaveDimitar Berbatov View attachment 1689872
Mchukueni ndondo leo awasaveDimitar Berbatov View attachment 1689872
Wewe spurs ulipakwa nini?Juzi ni kama mlipakwa mate tu... Leo inateleza kama nyoka pangoni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
#COYG
#COYG
Aishi sanaaDimitar Berbatov View attachment 1689872
Hamchelewagi kuanza kualalamikaLeo hatoki mtu kikosi kipo mahali yakeView attachment 1690091
Sasa partey uamlinganisha na izo kuku?Partey huyuhuyu tunaemjua au mwingine[emoji848]?
Ni nadhiri nimeweka, isipotimia njoo unisute.Naona umetafuta sababu za kuwakimbia wenzako[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwa mzalendo, fimbo kidogo tu unazila
Kwan mshakutana tena na Tottenham au Everton???
Umemuona anachokifanya mazoezini?Hivi Baily ana shida gani? Au ndo kwakua ni ngozi nyeusi[emoji848]
Huu ndiyo mziki wa man U?LEO FULL MZIKI [emoji23][emoji23]View attachment 1690085
Siyo leoHamchelewagi kuanza kualalamika
View attachment 1687912
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]inauma ila itabd wazoee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji817]
Nina imani kubwa na hii line up labda Ole alete ufala tacticallyTukifungwa leo ni matatzo ya tactics za kocha au wachezaji wetu kucheza chini ya kiwango. Wachezaji wetu Wana quality kubwa mno kulinganisha hao utopolo arsenal