Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama ilivyo kawaida usiku wa deni haukawii kukucha

Mje na mafuta

Mje na lingard

Mje na ambulance

Mje na mzee Ferguson


Mkipigwa chini ya 3 nahama huku chato
Hawa leo hazipungui tatu,watajitahidi kupunguza idadi lkn tatu ni lazima zifike
 
Dimitar Berbatov
143869725_10158351648732746_3006603907026519055_o.jpg
 
We jamaa unetamba sana week hii, ila leo ndio mwisho wako.
Kama ilivyo kawaida usiku wa deni haukawii kukucha

Mje na mafuta

Mje na lingard

Mje na ambulance

Mje na mzee Ferguson


Mkipigwa chini ya 3 nahama huku chato
 
We jamaa unetamba sana week hii, ila leo ndio mwisho wako.
Dakika 90 za game ntakuwepo hapa

Niliekua namuhofia n Southampton, ile ndio big match yangu. Na unajua nini kimempata. Asante
 
Inatokana na game yenyewe.
Game na aseno ni kama sikukuu (nikishinda) au msiba (nikifungwa) siwezi kosa labda inikute kwenye machimbo ya mbali na mjini.

Istoshe niliingia jana usiku nimerudi leo asbuh na vidini vya kula.
Mzee siku ya gemu kama leo huwa huingii chimbo ndichi?
 
Juzi ni kama mlipakwa mate tu... Leo inateleza kama nyoka pangoni

#COYG
#COYG
 
Arseno wanapiga pale pale kwenye mshono, kidonda hakijapona vizuri.

Kama sosha ana akili timamu leo aingie kupak bus.
Ikifika dakika ya 50, amtoe rashford aongezeke beki, maana kuanzia muda huo arsenal anakuaga kama mnyama mmoj hatari sana

Asimuweke Bruno, why? Kwasababu Bruno n mchezaj mzur timu ikicheza au kushambulia. Ukabaj Bruno atakua mzigo na mtaishia kumtukana tu

Asimuweke Pogba, why? Nimegundua pogba huwa anafurahi sana pale anafungwa na arsenal, huyu jamaa ata kuwa gunner


Asimuweke degea,
Najua wote mnajua jinsi gani degea huwa anamuachiaga tu xhaka magol

Ni ushauri ili game iwe fair. Take it or grab Vaseline or babycare
 
𝔨𝔦𝔭𝔦𝔤𝔬 𝔠𝔥𝔢𝔫𝔲 𝔢𝔫𝔶𝔦 𝔴𝔞𝔫𝔞 𝔴𝔞 𝔰𝔬𝔰𝔥𝔞 𝔦𝔱𝔞𝔨𝔲𝔴𝔞 𝔫𝔦 𝔨𝔦𝔠𝔥𝔢𝔨𝔬 𝔨𝔴𝔢𝔱𝔲 𝔰𝔦𝔰𝔦 𝔩𝔦𝔳𝔢𝔯𝔭𝔬𝔬𝔩 𝔞𝔫𝔢𝔫𝔞 𝔪𝔴𝔞𝔫𝔞 𝔴𝔞 𝔞𝔩𝔦𝔶𝔢 𝔧𝔲𝔲 ,𝔫𝔞𝔱𝔞𝔷𝔞𝔪𝔞 𝔱𝔞𝔟𝔲 𝔶𝔢𝔫𝔲 𝔩𝔢𝔬 𝔦𝔱𝔞𝔨𝔲𝔴𝔞 𝔣𝔲𝔯𝔞𝔥𝔞 𝔫𝔞 𝔰𝔥𝔞𝔫𝔤𝔴𝔢 𝔨𝔞𝔱𝔦𝔨𝔞 𝔫𝔤𝔬𝔪𝔢 𝔶𝔞 𝔞𝔫𝔣𝔦𝔢𝔩𝔡.
 
Inatokana na game yenyewe.
Game na aseno ni kama sikukuu (nikishinda) au msiba (nikifungwa) siwezi kosa labda inikute kwenye machimbo ya mbali na mjini.

Istoshe niliingia jana usiku nimerudi leo asbuh na vidini vya kula.
Zama chimbo wewe ..achana manyumbu haya yatakunyima ela ya kula ..mwajiri atakutaka mshahara oho!!
 
Back
Top Bottom