Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,316
Chimbo hili mkuu ni JITEGEMEE sio MAKONGO no cha Mwajiri no cha tajili.Zama chimbo wewe ..achana manyumbu haya yatakunyima ela ya kula ..mwajiri atakutaka mshahara oho!!
Ukiyapa yako na ulio fanya nao kazi, ukiyakosa unaendelea kutubu, no kula mpaka suruali inapasuka.
Mbaya zaidi ukikamatwa polini ni jela miezi 6 bila msamaha.
Kiufupi mkuu huku ni kama jela ya kujitakia tu.
Utamlaumu nani na shule tuliona uzushi?
Ngoja tuondelee kukaza.

