Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe kwa utabiri nani wa kukushinda tatizo kamali unazobet unaleta hadi huku rudi hukuView attachment 1685698

Huko mm sipo kesho yangu siijui

Pep kasema ka manchester city kanahitaji kushinda makombe ili awe kama baba lao manchester united rol model wenu yaani

Huo ndio mjadala hayo ya kushinda makombe hata ka manchester city hakana uhakika achana na kamari
Sibishani na mambo yaliyopita Mimi....
 
Sibishani na mambo yaliyopita Mimi....

Kwamba huyu hana akili kiongozi wako?
IMG_0101.png

Tatizo lako kumbe umekuja kubishana ndio maana unateseka
 
Mpaka sasa

Sioni mnalengo gani kwanza

Uefa out

Carabao out

EPL hamna pumzi (hili linajulikana ila mmekaza kichwa na ubongo kama chuma cha pua et mtachukua )

Fa ,nasema hivi bila kumungunya maneno utd inataka fa ,ila bahati mbaya uwezo wa kuchukua huna

So mwaka huu mnaambulia

Zero trophies
Urefa bado tumo, punguza jazba.
 
Asante kwa kumbukumbu hii murua mkuu Joh
Ni kweli nilisema ila kwa kipindi kile timu ilikuwa hovyo sana na kila
mtu alitema nyongo kulingana na muono wake. Lakini kibaya zaidi tuliongea haya kutokana na kauli za Pogba kuwa madrid ni ndoto ya kila mchezaji ikiwemo yeye.
Ila kwa sasa tufurahie hii form yake nzuri pamoja na ya timu kwa ujumla.
GGMU
 
Kwa game ya jana liverpool walimfanya Rashford aonekane kama Pele yani.
Kila alichokuwa anakifanya kilikuwa poa sana tu.
Ile pressing ya goli lake alicheza kwa dharau utadhani golikipa alikuwa farouk shikalo.
Ila siku akiamka vibaya unatamani akachezee arsenal kama ndugu yake welbeck
 
😂😂😂et welbeck daah kitambo sanaa huyu mwamba
 
Back
Top Bottom