Wewe ndio utakuwa kilaza timu kubwa inatambulika kwa lipi? Ndio maana unashabikia timu ndogo kwa sababu ya akili ndogo
pep kocha wako manchester united na city yupi mkubwa?
Liverpool unaweza kuiweka mizani moja na wauza mafuta? Kwa nini hazikai pamoja ni historia iliyojengwa kwa mafanikio wewe mbulula
View attachment 1685641
Kocha wako mwenyewe anatambua anafundisha ka timu ka dogo wewe wa shitimbi unaongea ugolo hapa ndio maana nimekwambia ukiwa unakuja hapa hakikisha umejikoki kwa mataji sio unabeba vi carabao na epl unakuja kusumbua magiant
Tena kasema liverpool na manchester united hizo ndio timu kioo uingereza
Hizo zingine mnajijua ndio maana nasema uwe unashinda huko sio hili jukwaa
Wewe na kocha wako nani mwenye matumizi mabovu ya akili? Wazazi wameuza ng'ombe kusomesha ng'ombe mwingine.