OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mkuu wakati mwingine mfumo wa kocha unaweza kufanya mchezaji asiwike ..mfano Werner au Haverts ..unadhani kuna mchezaji wa kumkata namba Werner hapo man u? Jibu ni hakuna. Ndo maana tunataka Lampard aondoke ili aje kocha mwenye uwezo wa kuwatumia vizuri wachezaji na kupata matokeo.Nazungumzia lampard.. nazungumzia chelsea. Sijamzungumzia ole. Usijaribu kuhamisha mada.
Lampard hachezi mpira.. unamtupia lawama zote wkt wachezaji kule hawaonyeshi hata bidii.
Angalia barcelona walivyo. Yule kocha si wa viwango vyao.. lakin wachezaji ndio wanaibeamba ile timu japo kwa shida.
Ole ni saw na Lampard tu ila upepo umemuendea vizuri.



★
