Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Good news next big match ni dhidi ya Liverpool tutashinda lakini bad news itakuwa ni FA Cup siyo ligiI think game plan aliyoingia OGS ilikuwa OK kosa lilikuwa kuanza na Martial badala ya Cavani ,Martial alipaswa kuingia sub angekuwa na impact kuliko alivyoanza.Mashambulizi ya Liverpool yanaanzia kwenye full back (Trent & Robertson) na jana wote walibanwa Mane na Salah hawakuwa na impact yeyote .Cavani ambaye ni natural stiker angewasumbua sana Liverpool CB (Fabinho & Henderson) hawakuwa na pressure yeyote
Mechi kama hizi huhitaji kupata nafasi 7 ndio ushinde nafasi tulizopata zilitosha kabisa kufunga magoli tatizo ni wachezaji wetu wanachelewa kufanya right decision kwenye right time.
Perfomance yetu against big team ndio inatuangusha kwenye game 5 tumefunga goli 1 tena la penati next round mambo yasipobadilika hali itakuwa ngumu
Mi bado naona Paul alikuwa live kuliko Bruno na wengine. Ndiye kama alikuwa ana-lead buildup ya UnitedMechi ya Jana Ole alijikosesha ushindi mwenyewe kwa kuwaheshimu Liverpool kupita kiasi.
Sikuona sababu yoyote ya Ole kucheza 4 4 2 diamond & 4 5 1 kwenye mechi ya jana.
Kilichoshangaza zaidi ni Rashford kuanza kama lone Striker halafu Martial akacheza left wing.
Kumuanzisha Pogba kwenye right wing kulimrahishia kazi sana Andy Robertson that's why alikuwa anapanda sana kwani right wing haikuwa na threat yoyote.
Bruno Fernandes alikuwa amechoka sana na probably anahitaji kupumzika walau 3 consecutive games au apunguziwe dakika za kucheza.
Mechi ya jana tungeshinda kama Solkjaer angeanza na Greenwood/James kulia kisha kushoto acheze Rashford striker angecheza yoyote Cavani or Martial.
Kalikuwa kembamba sn km kagonjwa, hv kalishakufa eeh.Chadwick umenikumbusha 2003 hiyo kama sikosei.
Nakumbuka madogo janja wenzangu walikua wakiniita jina hilo (nilikua silipendi hilo jina)
Grealish[emoji736]Ulianza vizuri pale uliposema tatizo ni midfield. Huwezi kushinda mechi kama ball possession ni 36%. Hatukuweza kumiliki hata pasi nne za uhakika kipindi cha kwanza. Kwa hiyo hata Greenwood angeanza wa kumpatia mpira hangemwona. Mechi ya Fulham ampumzishe Fernandez kachoka ili awe fresh dhidi ya Liverpool FA jumapili.
Bila kutawala mpira kipindi cha kwanza ndiyo mtihani. Fred na MacTominay ni dhaifu. Mbele ya safari usajili wa Grealish na Maddison haukwepeki.
Alizingua game za uefa sana kama ulimchek...Sio kweli mkuu naomba Greenwood usimuweke hilo kundi kabisa, sio mchoyo na hapotezi mpira hovyo.
Tungetaka kuwa na attempts kama wao tungekua nazo, limeongelewa huko juu Ukitoa shuti la Alcantara hizo Attempts 17 zote zilikuwa za ovyo unless hujaangalia mpira.Bado natafakari inakuwaje tuwe na takwimu hizi za kipuuzi khalafu tutegemee tushinde mechi
Offside 8 wakati Liverpool 1 - Martial na Rashford ndiyo Offside zote hizi zinawahusu.
Ball possession 34% wakati Liverpool 66%
Goal attempts 8 wakati Liverpool 17
Completed passes 344 wakati Liverpool 677
Rashford kulimwa yellow dakika ya 84 ya majeruhi ni dalili alikuwa na msongo wa mawazo wa mpira kumkataa hata free kick alishindwa kuvuka ukuta wa Liverpool...
Usiishi kwa hopes chief.Nafkiri Ana kiporo cha Aston Villa Hope anadondosha point.
Umesahau sisi huwa tunapoteza mechi ndogo kizembe?Mechi 7 zijazo Man city Ana Aston villa, Burnley, West brom, Arsenal, Spurs na Liverpool, akichomoka hapa yeye mwanaume, na Ana nafasi kubwa Ya Ubingwa.
Akili za Benteke.
Martial yeye ni mvivu.Martial anakuwa na ujinga mwingi ila hajamzidi Rashford..ingekuwa ni Anthony pale angepiga pass fasta tu kwa Cavani..
Ole asipokuwa mkali hawa watoto watamletea vikwazo sana..
Game ya Fulham aanzie bench..Greenwood acheze nafasi yake
Kungekuwa na kaptain kama Roy Keane angeshampa mbata palepale uwanjani.Huyu sijui alipataje jezi namba 10 hata mech ya wolves ilikuwa hivi hivi tushukuru mpira ulimgonga bek wa wolves ukaingia nyavuni bila hivyo ilikuwa pacha jana karudia ujinga ule ule na cavan akiwa sehem ile ile kuna muda madrid na chelsea wanavifanyia vyema hiv vi toto vinavyotoka kwenye academy uzia mbali huko View attachment 1680191
Upo sahihi.Rashford na martial sio watoto wale ile project imekufa hao level zao ni za sutton huko wanatofaut gan na walcott au yule mjomba wa okocha? Rashord alipata offside 5 peke yake halafu zote hakuna hata moja aliyotumbukiza mpira nyavuni dadeki
Rashford alitakiwa atoe hiyo pasi nyuma kabisa kabla hajafika huko.Hapa Rashford mnamtukana bure tu alivyokabwa vile asingeweza kutoa hiyo pass.
Tusiangalie mpira as if timu yetu ilikuwa inacheza peke yake.
Tupo unbeaten Away zaidi ya mwaka, na hata kupoteza Msimu huu Ukitoa mwanzo wa ligi ambapo tulikuwa Hatuna fitness, tupo unbeaten mechi 12 sasa hivi toka November 2020, mechi zipi ndogo ambazo tumepoteza? Hata draw msimu huu ni against timu kubwa, ndogo zote tumezifunga.Umesahau sisi huwa tunapoteza mechi ndogo kizembe?
Haijawahi Kutokea timu kushinda ligi na point 114 (maximum points) kivyovyote vile roho mbaya Inahitajika, mpinzani akidrop points na sisi ndio tuna kuwa na nafasi nzuri.Usiishi kwa hopes chief.
Pambana kivyako.
Tunatakiwa tushinde mechi zetu zote.
Kalikuwa kembamba sn km kagonjwa, hv kalishakufa eeh.
Hapa Rashford mnamtukana bure tu alivyokabwa vile asingeweza kutoa hiyo pass.
Tusiangalie mpira as if timu yetu ilikuwa inacheza peke yake.