Hahaha tx moshi ndo nani huyo?
Game ngumu hii chifu..kuanza na central mids watatu naona ni plan nzuri..Kagawa ataingia tu naamini.
BTW, kama mshabiki wa Man United, kuita timu yako Man U ni dhihaka kwa timu. Ni dhihaka iliyoanzishwa na washabiki wa Leeds kisha Liverpool, wakiikejeli United juu ya ajali ya Munich iliyoua kizazi cha Busby's babes. Ebu soma kuhusu hilo, halafu uone kama ni sawa.