Hapo naiona man u ikiendelea kuongoza ligi.,,MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER UNITED
1.Fulham (A)
2.Sheffield Utd (H)
3. Arsenal (A)
4. Southmpton (H)
5. Everton (H)
MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER CITY
1. AstonVilla (H)
2. Westbrom (A)
3. Sheffield Utd (H)
4. Burnley (A)
5. Liverpool (A)
MECHI 5 ZIJAZO ZA LIVERPOOL
1. Burnley (H)
2. Tottenham (A)
3. Westham (A)
4. Brighton (H)
5. Manchester City (H)
MECHI 5 ZIJAZO ZA CHELSEA
1. Leicester (A)
2. Wolves (H)
3. Tottenham (A)
4. Sheffield (A)
5. Newcastle (H)
NB: Bado naiona Mancheter United itakua inaongoza Ligi hadi Feb 15
naona izo mechi umezimaliza kwa maandishiHapo naiona man u ikiendelea kuongoza ligi.,,
naona man u 4 win 1 draw.( 13 points )
Wakati liver pool 2 defeat na 3 win.( 9 points)
Man city 1 defeat 1 draw 3 win.( 10 points)
Bado tutakuwa juu ya kilele cha mlima Everest..
Rashford na Martial wote ni Elite Forwards, ndio hawapo consistency ila still ni elite players. Kuna wachezaji wachache sana Age yao ambao unaweza kusema wamewazidi na wengi wao Ngumu kuwa pata, mfano Mbappe, kimich, DE Bruyne, haaland etc ila waliobakia wengi ni wazee tu, kina Messi, Ronaldo, Lewandowski etcHuyu sijui alipataje jezi namba 10 hata mech ya wolves ilikuwa hivi hivi tushukuru mpira ulimgonga bek wa wolves ukaingia nyavuni bila hivyo ilikuwa pacha jana karudia ujinga ule ule na cavan akiwa sehem ile ile kuna muda madrid na chelsea wanavifanyia vyema hiv vi toto vinavyotoka kwenye academy uzia mbali huko View attachment 1680191
Hapa Rashford mnamtukana bure tu alivyokabwa vile asingeweza kutoa hiyo pass.Hivi vitoto ndiyo vinatuchelewesha, yani mpira wakishakuwa nao karibu au ndani ya box ni kama vinakuwa havioni tena.
Rashford, Greenwood, James ni mafala sana.
Hatuko miaka ya Sir Alex Ferguson sasaMajibu ni kwamba wachezaji wengi wa kizazi hichi wengi wao wana vipaji vya kuunga unga na soletepu.
Miaka ya sir Alex Ferguson walicheza wanaume hizi mbarara Rashford & Martial wasingepata nafasi ya kucheza wangebaki uwanja wa mazoezi kupanga panga vifaa vya mazoezi.
Dialo kaja juzi tu. Halaf bado dogo? Ataanzaje kucheza?
Huyu kijana anakuwa mpuuzi sana kazini kwake.
Nimeangalia mechi mkuu, kusema kwamba Rashford alikabwa kiasi cha kushindwa kutoa pasi ni uongo. Rashford ni uchoyo tu ndiyo unamsumbua. Ile movement yake na Cavani ilinikumbusha mechi dhidi ya Everton, pasi ya upendo aliyotoa Bruno huku akiwa ana goli mbili, nilitegemea itaishia kuwa movement ya goli ila Rashford sijui hata alikuwa anaenda wapi.Hapa Rashford mnamtukana bure tu alivyokabwa vile asingeweza kutoa hiyo pass.
Tusiangalie mpira as if timu yetu ilikuwa inacheza peke yake.
Chadiwick alicheza Man kipindi cha nani?Majibu ni kwamba wachezaji wengi wa kizazi hichi wengi wao wana vipaji vya kuunga unga na soletepu.
Miaka ya sir Alex Ferguson walicheza wanaume hizi mbarara Rashford & Martial wasingepata nafasi ya kucheza wangebaki uwanja wa mazoezi kupanga panga vifaa vya mazoezi.
Rashford anazingua sana, anapenda sifa binafsi kuliko timu, kibaya zaidi uchoyo wake unajirudia rudiaNimeangalia mechi mkuu, kusema kwamba Rashford alikabwa kiasi cha kushindwa kutoa pasi ni uongo. Rashford ni uchoyo tu ndiyo unamsumbua. Ile movement yake na Cavani ilinikumbusha mechi dhidi ya Everton, pasi ya upendo aliyotoa Bruno huku akiwa ana goli mbili, nilitegemea itaishia kuwa movement ya goli ila Rashford sijui hata alikuwa anaenda wapi.
Cavani alikashangaa sana.Huyu sijui alipataje jezi namba 10 hata mech ya wolves ilikuwa hivi hivi tushukuru mpira ulimgonga bek wa wolves ukaingia nyavuni bila hivyo ilikuwa pacha jana karudia ujinga ule ule na cavan akiwa sehem ile ile kuna muda madrid na chelsea wanavifanyia vyema hiv vi toto vinavyotoka kwenye academy uzia mbali huko View attachment 1680191
Sio kweli mkuu naomba Greenwood usimuweke hilo kundi kabisa, sio mchoyo na hapotezi mpira hovyo.Greenwood rashford na martial tofauti yao wamepishana majina na namba za jezi mgongoni ila hamna hata mmoja wakukupa matumaini jez zao sasa mgongoni 9,10 na 11
Tunza kumbukumbu mkuu. Utaona nn namaanisha..naona izo mechi umezimaliza kwa maandishi
Mkuu united haina uwezo wa kupata draw anfield kwa sasa zaidi ya kipigo
Ni swala la muda tu
Naona watu wengi mnasema Rashford ni mchoyo lakini Mimi kitu ninachokiona dogo decisions making ni poor.