Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool 0-0 Manchester United (HT)

ushindi kipindi cha pili maana kama kipindi cha kwanza wameshindwa basi cha pili waandike maumivu
 
Yaani ball possession na total number of passes Liverpool katuzidi ratio of one to two hii ni aibu

Shots on target ni nunge hii midfield dhaifu sana

Offside 7 ndiyo tunaongoza kwa uzezeta wakati Liverpool 1

Goal attempts 1 wakati Liverpool 9 kipindi cha pili tutacheza vizuri hatuwezi kucheza vibaya na bado tusifungwe

PSX_20210117_201909.jpg
 
Kama umemuangalia vizuri Cavani haruhusu ule ujinga wa kipa kuwaanzishia mabeki, anazunguka pale kwenye 18 kwa spidi kubwa hawawezi kuanzishia mipira pale ovyo ovyo. Martial ni mvivu hawezi kudhibiti mabeki na kipa wanaanzishia mipira nyuma ambayo ni hatari sana.
Ndiyo mmemnunua kwa harakati izo?
 
fred anapoteza sana mipira hapa kuna umuhmu wa matic na cavvan wa2 wazma wanahusika kuamua game hii
 
Back
Top Bottom