Inakuaje mchezaji anaonesha dhahiri kachoka lakini sosha hataki kumtoa...
Hapa tumepigwa ndugu ilo halina ubishi...Maguire hamna kitu
RashfordNani huyo
Aliisha ambiwa finishing yake kama BentekeRashford ni OVERRATED, level yake akacheze Newcastle fc
86Dakika ya ngp? Wakuu
Pale ndio yupo kwenye form unaambiwaRashford ni OVERRATED, level yake akacheze Newcastle fc