Maguire ni kitochi, tulichokinunua kwa bei ya iPhone 12 pro .Defense ni aibu Maguire duh karibu atufungishe
Mpaka dakika ya 38 ndiye beki aliyefanya blocks nyingi. Interceptions nyingi na clearance nyingi. Au ulitaka atoe assisst?Maguire hamna kitu
Kosa moja linaangaliwa visivyoMpaka dakika ya 38 ndiye beki aliyefanya blocks nyingi. Interceptions nyingi na clearance nyingi. Au ulitaka atoe assisst?