Counter na yule goigoi aliye simama mbele,OGS hayupo serious.Naona mkakati wa Ole ni counter

ole mungu anakuonaAkishinda usisahau kumwomba msamahaCounter na yule goigoi aliye simama mbele,OGS hayupo serious.
Huyo ndiye atakaye wakera.Martial hizi offside za kijinga hajifunzi tu
Anajitahidi kutafuta ushindi mwororo one nilKocha kila tukikutana na team kubwa strategy ya kwanza ni defense...
Hivi huyu kocha anataka ubingwa kweli
Au ndio kila team kubwa imetuzidi quality ya wachezaji
Mkakati ni kuwaandaa kwa counterattackDuh mpaka sasa tumezidiwa