Bahati haikulala kwetu.Huu ni usengee tuna draw vipi na liverfool
Hili ndio tatizo kwa sasa.Kiukweli tatizo letu ni SOSHA
Jamaa nilichoyo mpaka basiIla Rashford sijui kawaje yani dah mpaka anakera mbweha yule.
Anaona kisha kuw superstar shida inakuja sosha anamuamini hata dialo nahisi atakuwa kama dvb tu.Ila Rashford sijui kawaje yani dah mpaka anakera mbweha yule.
Teh teh tehRashford fala sana anajiona ronaldoo, sema kocha nae fala tu inakuwaje anamuamini hivi