kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Mda utafika mtaanza kulaumiana tu
Mda utafika mtaanza kulaumiana tu
Leo kama man u tutapigwa na kuchakaa
Man u hakili hamnagaUmeshaosha vyombo lakini?
No way..Shaw akae bench mkuu
Leo tunavaa ule kama wa black hivi (Away kit)Sikumbuki kama tumesha fungwa au kudraw ndani ya uzi wa pundamilia
Duh!! Ule mimi sijawahi kuuamini kabisaLeo tunavaa ule kama wa black hivi (Away kit)
Nikiuona tu nakumbuka ile gemu ya Ujerumani vs LeipzigDuh!! Ule mimi sijawahi kuuamini kabisa
Tuliza kijana utakunwa baadaeSikumbuki kama tumesha fungwa au kudraw ndani ya uzi wa pundamilia
Tofauti na ile game ya Istanbul.
Kipo poa, mc na Fred kukata umeme pale kati hawaepukiki
Punguza presha mzee baba it's just a football game like any otherJasho limeanza kunitoka..
Big big match aisee..
GGMU.
Hi ni Kama gambling kaka!No way..
Salah ana pace kinoma,Telles atapoteana..Hi ni Kama gambling kaka!
Shaw Ni mzuriii defensively,,,,
Telles ni mzuri offensively ,,,, hasa cross zake zina macho Sana !!!
Anyway ningependa amuanzishe telles, mambo yakiwa sio atamuintroduce shaw sec half !
Inawezekana anajua ukweli kuwa jina Ole asili yake ni nyumbani kwa mlima Kilimanjaro.Naona boss katupaisha
"There’s been loads of hard work and loads of patience to get to the position we’re in now. But it’s like if you climb Kilimanjaro or Mount Everest and you get to the top and you sit down and relax – what happens then? You’ll freeze to death."
Pre match conference