ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Kwanini mkuu?VdB hatafanikiwa United..We have to offload him early as possible..
Kwanini mkuu?VdB hatafanikiwa United..We have to offload him early as possible..
Moises caicedo usajili wake kuelekea man utd hautokuwepo. Kuna talent nyengine tumeiona?
VdB atapata muda wa kutosha sana,usisahau Solskjaer ataachana na Pogba soon!!VdB hatafanikiwa United..We have to offload him early as possible..
Jesse alikuwa na matatizo nje ya uwanja, ndio maana amedrop form sana.Throwback
Lingard kuna kipindi aliwasha moto hadi akawa Mourinho's favourite. yaani jina lake nahisi ndo lilikuwa la kwanza kuwekwa kikosini..Hata mimi nilianza kuwa na matarajio mazuri na yeye..yaani ni mchezaji aliyekuwa anacheza kwa akili nyingi sana kwa kile kipindi..movement kali kali kwenye mechi n.k...dribble za hatari,na itoshe kusema hatujapata dribbles mzuri so far ukiacha zile zake.
All over sudden jamaa akapotea..swali ninalojiuliza hivi ni nini hapa huwa kinatokea?..ni fluke ama?
Nimemkumbuka tu Jesse' Lingardinho..aka JLingz.
Aisee, Kwamba Fa uweke full mziki? Na Fa ni Bora kuliko ligi?AISEE...KUMBE NA WEWE HUJUI HII KITU, UKIPIGWA HAPA (kama ujinga tuliofanya Carabao na UEFA) UNAONDOLEWA KABISA KWENYE MASHINDANO. MECHI YA JUMANNE NI YA POINT TU HATA UKIFUNGWA BADO UPO UNAPAMBANA UTARUDISHA POINT ZAKO UTAKAA SAWA. KIFUPI MECHI HII NI MUHIMU KULIKO MECHI YOYOTE YA LIGI.
Halafu kitimu chenyewe ni Watford.Aisee, Kwamba Fa uweke full mziki? Na Fa ni Bora kuliko ligi?
Kwamba Arsenal nao ni timu kubwa sana maana ligi wapo ovyo ila Fa wanabeba sana tu.
Mechi ya JUMANNE ni muhimu sana tukishinda ama draw ina maana tunampita liver na kuongoza ligi kwa Mara ya kwanza Toka Fergie Astaafu.
Mfano jana unapanga full mziki halafu Bruno ama Fred anaumia miezi 3 Unafikiri it's worth it?
Kwamba Arsenal nao ni timu kubwa sana maana ligi wapo ovyo ila Fa wanabeba sana tu.

..


Hatuna kombe lakini angalau Gari letu limechanganya, kuliko kuwa Gari la mkaa.Mbona kama unatumia nguvu..
Kwahiyo wewe mwenye timu kubwa mara ya mwisho kubeba kombe lolote ni lini?
Haya tumemuona huyo Buruno Penandezi wenu kwenye game ya semi final juzi.
Au timu kubwa makombe yenu ni Semi Final?![]()
Hapa tunaongelea ya Lingard, ile dancing style yake baada ya kufunga ndio imeisha hivyo.Kama Mourinho alivoua cha Delle Ali sio?
Lingard alianza kupotea kabla hata ya Mourinho kusepa
Hatuna kombe lakini angalau Gari letu limechanganya, kuliko kuwa Gari la mkaa.

Kwamba mtachukua ubingwa wa ligi![]()
Babu Mungu amweke sanaa
Tunahitaji kiungo wa kudrive timu mbele,kucreate na mwenye spidi pia hapo katikati..Nimemcheki VdB naona kwa timu yetu hatakuwa na mchango mkubwa..mimi nilichokuwa natarajia kutoka kwake ni kuwa hata kama Pogba na Fernandes hawapo kwenye timu yeye aweze kufanya kazi wanayofanya hata kwa asilimia fulani,kitu ambacho hajaweza kufanya..Kwanini mkuu?
kwel kabisa Mkuu 👍Tunahitaji kiungo wa kudrive timu mbele,kucreate na mwenye spidi pia hapo katikati..Nimemcheki VdB naona kwa timu yetu hatakuwa na mchango mkubwa..mimi nilichokuwa natarajia kutoka kwake ni kuwa hata kama Pogba na Fernandes hawapo kwenye timu yeye aweze kufanya kazi wanayofanya hata kwa asilimia fulani,kitu ambacho hajaweza kufanya..
Kumpa muda ni jambo jema,lakini analysis inabidi ifanyike mapema kama anaweza kwenda sehemu nyingine ambapo ataweza kushine why not?
Tunahitaji kiungo wa kudrive timu mbele,kucreate na mwenye spidi pia hapo katikati..Nimemcheki VdB naona kwa timu yetu hatakuwa na mchango mkubwa..mimi nilichokuwa natarajia kutoka kwake ni kuwa hata kama Pogba na Fernandes hawapo kwenye timu yeye aweze kufanya kazi wanayofanya hata kwa asilimia fulani,kitu ambacho hajaweza kufanya..
Kumpa muda ni jambo jema,lakini analysis inabidi ifanyike mapema kama anaweza kwenda sehemu nyingine ambapo ataweza kushine why not?
Babu Mungu amweke sanaa