Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siwezi kukushangaa maana timu unayoshabikia hamna jukwaa utakwenda wapi zaidi ya kudandia nyuzi za wanaume hizi taarabu ndio mnazoimba kwenu? Sisi mbeya hamna huo upuuzi
Kakojoe ulale.
 
Kakojoe ulale.

Unashida kichwani haya mambo ya kike unaleta kama ww ni mwanamke upo sahihi hizi ndio taarabu sasa ambazo unafundishwa na dada zako mkikaa vibalazani wanaume huwa hatutumii hii misemo
 
We kweli NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA
 
what the actual fck?!!!!
.
 
Unashida kichwani haya mambo ya kike unaleta kama ww ni mwanamke upo sahihi hizi ndio taarabu sasa ambazo unafundishwa na dada zako mkikaa vibalazani wanaume huwa hatutumii hii misemo

mkuu achana na hawa mashoga...wakilwta ushoga wao lwny nyuzi za wanqume we piga kimya tu..wataongea ujinga mpk watachoka watanyamaza..achana nao mkuu
 
Unamaanisha Arteta ni mzuri kimbinu?
Arteta huyu aliekua mpanga koni wa Guardiola!
Bola nibaki na Sorskjaer.
Kaka Ole mpo naye kwa muda gani? Nini kimekua? Bora niwe na kocha msaidizi kuliko kocha mkuu mwenye historia ya kushusha timu daraja
 
Kwahiyo aseno yenye muunganiko ndio hii?
Mashabiki wa aseno muna mahaba (kwa timu yenu) ya kijinga kweli.

Timu liko nafasi ya 11 alie nyuma yake kamzidi idadi ya magoli tu, wa tatu nyuma yake kamzidi point 1 tu, alafu anatokea kiumbe anasema Arteta kajenga muunganiko wa timu, huo si upuuzi jamani?

Hii timu, mwaka wa kuongoza ligi japo kwa points 3 tu, tutakua hatulali wala hatutembei.
 
Eh ushaanza matusi tayari.

Chukueni kombe hili linawangoja nyinyi tu.
 
 
Tuangalie msimu huu kati ya Sorskjaer na Arteta.
Sorskjaer katupeleka nusu fainali ya Carabao, Arteta aliishiia hatua za mwanzo tu.

Kwenye EPL Sorskjaer anaongoza ligi (ninavyo amini mimi) Arteta yuko nafasi ya 11 huko.

Sasa wewe ukiniambia Arteta ni mzuri wa mbinu nashindwa kukuelewa ni mbinu gani unazo zungumzia.

Kaka Ole mpo naye kwa muda gani? Nini kimekua? Bora niwe na kocha msaidizi kuliko kocha mkuu mwenye historia ya kushusha timu daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…