Hebu screenshot kutoka source yako nione.Sihitaji source yoyote sababu mechi nimeangalia Telles alicheza kama wing back na hata source yako inaonesha kama wing back. Na assume source yako ni ya ukweli 6+ by any means sio mbaya.
Nimekuuliza source sababu hio mechi telles alicheza vizuri zaidi ya Hivyo, hata source yako inajichanganya na sababu nimekupa hio ya Key pass.
Na Kuna kazi gani kuweka source kwanini unaZungusha huku na kule?
Source hii hapa.
Manchester United vs Paris Saint-Germain live score, H2H and lineups | Sofascore
Manchester United Paris Saint-Germain live score (and video online live stream) starts on 2 Dec 2020 at 20:00 UTC time at Old Trafford stadium, Manchester city, England in UEFA Champions League, Group H, Europe.