Hamkucheza 4 2 3 1 na hiko ndiyo kilisababisha niandike nilichoandika. Mlicheza 3 4 1 2, ingekua 4 2 3 1 siku ile telles angekua LMF na siyo wingback.Tulicheza 4-2-3-1 wing back anatokea wapi na tuna mawinga?
Anyway down with performance breakdown.
Game mnashinda 2 kwa 1 telles alikua na workrate ya 6.6 ndogo kuliko mchezaji yeyote wa man u.
Aligusa mpira mara 39.
Alipiga krosi 8 ila 3 pekee zilifika golini.
Hakupiga shuti lolote golini.
Katika ground duels 8 alishinda 2.
Hakufanya aerial duel yeyote.
Alipoteza mpira mara 15.
Alifanya faulo 2.
Hakufanya clearance yeyote.
Dribbled past 1.
Alitolewa dakika ya 67.