Tatizo unafanya sana spinning.View attachment 1669247
Hio ratings ya BBC.
For the sake of discussion tu assume sofascore wapo sahihi kama ulivyoweka.
Ratings ya 6.6 sio mbaya by any means na haireflect maneno yako kuwa hakucheza vizuri kama wingback
Na sofascore kama who scored wana rate stats na sio uchezaji, tofauti na BBC ambao ratings zinatokana na review za wataalamu.
Hamna sehemu nimesema telles mbaya.
Niliongelea wachezaji kusajiliwa na kutocheza ukaulizia performance, gave u stats, sasa hivi unasema mimi nimesema telles mbaya.
